Hapo nyuma niliandika kuhusu michezo ya fedha ya makampuni ya simu, nikasema nitaendelea kutafuta ukweli kama wanaanchi wanaibwa ama serikali inaibiwa ama vyote viwili
Maswali ya kujiuliza:-
1. Unaulizwa swali ; timu ya taifa ya wanaume ya tanzania inaitwaje 1)Twiga stars, 2)Taifa stars . Unajibu 2, wanakutumia meseji wanasema umekosea,
unajiuliza kweli huu ni mchezo halali au la?
2. Unatumiwa meseji ya swali unaamuwa kutokujibu, voda wanakutumia meseji wanasema umepatia, we ni mkali kweli unajiuliza nimepatia nini wakati sijajibu?
3. Ukijiunga na bando alafu ukawa huna hela kwenye simu maswali yanakuja kidogo kidogo ukiweka hela maswali yanakuja mara nyingi, unajiuliza huu ni mchezo halali au la?
4. Maswali yanajirudia mara kwa mara , unajiuliza huu ni mchezo halali au la?
Je Gaming board of Tanzania wanafuatilia michezo hii ama hawajali wananchi wanavyoumizwa au ni kazi ya TCRA?
Je hela inayopatikanika inajulikana ni shilingi ngapi na ni kweli wananchi wanashinda na wanapewa hela kulinganisha na mapato wanayopata au ni siri ya voda wenyewe?
Je serikali wanapata kodi kutokana na makusanyo haya au wanatiwa upofu na kodi ya matumizi ya simu ya kawaida wanayopewa? Kwasababu aviusiani kabisa
Huu ni muendelezo...
Voda wana wateja million 6 nchi nzima, tuchukuwe namba ndogo kabisa ya watu 100,000 kwa siku ndio wanacheza hii ni 1.6% ya wateja wa voda
Piga Hesabu: 100,000 x 200/TSh = 20,000,000/TSh kwa siku
20,000,000/TSh x 30 siku = 600,000,000/TSh kwa mwezi
This is a serious amount of money one can make out of poor Tanzanian citizens, and guess what! The game is on for three to four months or so.
The funny thing is that this Mega companies are already making a lot of profit from extremely high rate sms, data and voice tariffs but they don’t have any sympathy on continue milking cash out of poor me and you by deceiving us wit these kind of tricks and unsurprising the government is quiet. Until we have regulators who are committed to working for the public we will always going to be on the losing side
Remember: “HEADS THEY WIN, TAILS WE LOSE”