K karatu78 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 233 Reaction score 42 Apr 20, 2014 #1 Wakuu nimeshindwa kuwaelewa hawa watu sijui wanafanyaje kazi wakija huwa na kauli nzuri wakiondoka lazima ulie.matapeli.
Wakuu nimeshindwa kuwaelewa hawa watu sijui wanafanyaje kazi wakija huwa na kauli nzuri wakiondoka lazima ulie.matapeli.
Kibwebwe JF-Expert Member Joined Jun 26, 2012 Posts 826 Reaction score 266 Apr 20, 2014 #2 karatu78 said: Wakuu nimeshindwa kuwaelewa hawa watu sijui wanafanyaje kazi wakija huwa na kauli nzuri wakiondoka lazima ulie.matapeli. Click to expand... piga *150*23# Uone maajabu
karatu78 said: Wakuu nimeshindwa kuwaelewa hawa watu sijui wanafanyaje kazi wakija huwa na kauli nzuri wakiondoka lazima ulie.matapeli. Click to expand... piga *150*23# Uone maajabu
K karatu78 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 233 Reaction score 42 Apr 20, 2014 Thread starter #3 Maajabu gani haya
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Apr 20, 2014 #4 Walikutapeli nini mkuu?? Hebu funguka....
Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,651 Reaction score 3,827 Apr 20, 2014 #5 Hata sie hatujakuelewa ww mkuu
Magnificient JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 1,177 Reaction score 734 Apr 20, 2014 #6 Kumbe ndio maana umetapeliwa... Ndo umeandika nini sasa?
Iselamagazi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 6,083 Reaction score 6,241 Mar 31, 2019 #7 Ni kweli kabisa, kwamba NIC ni kama matapeli tu. Binafsi Bima yangu ya maisha iliiva tangu 2015 Leo ni mwaka wa tatu nazungushwa tu. Hakuna maelezo ya kutosha eti hakuna hela, nisubiri. Nimechangia kwa miaka 10. Shida tupu.
Ni kweli kabisa, kwamba NIC ni kama matapeli tu. Binafsi Bima yangu ya maisha iliiva tangu 2015 Leo ni mwaka wa tatu nazungushwa tu. Hakuna maelezo ya kutosha eti hakuna hela, nisubiri. Nimechangia kwa miaka 10. Shida tupu.