F fired JF-Expert Member Joined Apr 4, 2021 Posts 233 Reaction score 521 Mar 24, 2026 #1 Wanaangusha bahasa wanakwambia mgawe pesa uwaachie simu,kumbe bahasha imejaa makaratasi .hii utapeli uko bongo? Your browser is not able to display this video.
Wanaangusha bahasa wanakwambia mgawe pesa uwaachie simu,kumbe bahasha imejaa makaratasi .hii utapeli uko bongo? Your browser is not able to display this video.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 51,231 Reaction score 123,764 Mar 24, 2026 #2 Labla kwa wajinga wajinga wasambaa waliokuja mjini na lorry la mananasi
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,751 Reaction score 58,303 Mar 24, 2026 #3 Sasa hv hakuna utapeli wa namna hiyo.. Alafu ukiona umetapeliwa jua weqe ni zaidi ya poor brain aiseeee
Sasa hv hakuna utapeli wa namna hiyo.. Alafu ukiona umetapeliwa jua weqe ni zaidi ya poor brain aiseeee
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 37,901 Reaction score 117,138 Mar 24, 2026 #4 Siku zote mtu hutapeliwa kutokana na tamaa zake yeye mwenyewe kwa kutaka mafanikio kwa njia ya short cut.
Siku zote mtu hutapeliwa kutokana na tamaa zake yeye mwenyewe kwa kutaka mafanikio kwa njia ya short cut.
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,518 Reaction score 15,945 Mar 24, 2026 #5 Huku nonde sua,linaangushwa burungutu la fedha halaf anatokea mdada anakwambia "kaka umeangusha hela zako"... Ukiinama kuokota ndo umeshaungua
Huku nonde sua,linaangushwa burungutu la fedha halaf anatokea mdada anakwambia "kaka umeangusha hela zako"... Ukiinama kuokota ndo umeshaungua
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 28,674 Reaction score 83,475 Mar 24, 2026 #6 Mbaga Jr said: Labla kwa wajinga wajinga wasambaa waliokuja mjini na lorry la mananasi Click to expand... Nimekaa nacheka kama lijinga, shenzi ww๐
Mbaga Jr said: Labla kwa wajinga wajinga wasambaa waliokuja mjini na lorry la mananasi Click to expand... Nimekaa nacheka kama lijinga, shenzi ww๐
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 51,231 Reaction score 123,764 Mar 24, 2026 #7 Seran said: Nimekaa nacheka kama lijinga, shenzi ww๐ Click to expand... Inasikitisha sana mkuu ๐
Seran said: Nimekaa nacheka kama lijinga, shenzi ww๐ Click to expand... Inasikitisha sana mkuu ๐
F fired JF-Expert Member Joined Apr 4, 2021 Posts 233 Reaction score 521 Mar 25, 2026 Thread starter #8 Mbaga Jr said: Inasikitisha sana mkuu ๐ Click to expand... amekaribishwa jiji
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,574 Reaction score 193,549 Mar 25, 2026 #9 Hatari sana... Cc: Mahondaw