Najua ndio maana nimesema Hela unafikiri bila kuliwa kidogo utapata kwanza majina yameshaandaliwa hizo application ni fake tu na bahati na sibu kama kubetKama hujui serikali ilipo basi ww ni raia wa kisengerema
Usihofu,hiyo angalao ni tiba ya kisaikolojia japo ya muda kwa watafuta ajira waliojikatia tamaa kiasi cha kutamani kujiua,hivyo toeni tiba,japo hata tiba feki,kuwaponya hawa ndugu zetu japo kwa dakika chache tu😂😂Wakuu,
Huku walimu wahitimu na wale wa kada ya afya wakifurahia ajira zilizotangazwa leo na TAMISEMI nayo matapeli yameshangilia haswa.
Katika kipindi hiki nasikitika vijana wengi wanaenda kulizwa vipesa vyao kwa kudanganywa kwamba ajira hizi zinatolewa kwa connection ambapo huihitajika walipie pesa kwa ahadi ya kupangwa kituo cha kazi, hakika mtaliwa pesa zenu bure .
Awamu hii hakuna connection, usikubali kuliwa na mwisho ukose kazi.
Hizi kauli zinakatisha tamaa, lakini vijana wafanye application mimi nilipata kazi mapema tu bila connection yoyote.Najua ndio maana nimesema Hela unafikiri bila kuliwa kidogo utapata kwanza majina yameshaandaliwa hizo application ni fake tu na bahati na sibu kama kubet
Endelea kujidanganya, awamu pekee ambayo haikuhitaji connection ni awamu ya tano ambapo hata mkurugenzi aliogopa lakini sio Sasa.Wakuu,
Huku walimu wahitimu na wale wa kada ya afya wakifurahia ajira zilizotangazwa leo na TAMISEMI nayo matapeli yameshangilia haswa.
Katika kipindi hiki nasikitika vijana wengi wanaenda kulizwa vipesa vyao kwa kudanganywa kwamba ajira hizi zinatolewa kwa connection ambapo huihitajika walipie pesa kwa ahadi ya kupangwa kituo cha kazi, hakika mtaliwa pesa zenu bure .
Awamu hii hakuna connection, usikubali kuliwa na mwisho ukose kazi.
Acha uongoNajua ndio maana nimesema Hela unafikiri bila kuliwa kidogo utapata kwanza majina yameshaandaliwa hizo application ni fake tu na bahati na sibu kama kubet
Pole mkuuYaani hela zitapigwa sana,na mbaya zaidi watu waliopata kwa koneksheni awamu iliyopita,watatumika kama mfano.Watu wataongeza magari Tuombe tu.Mimi nimesoma English language kama teaching subject chuoni na nimemaliza 2016,ila kila nikiomba,sipatagi,hawa wa 2020-2021 na sasa 2022, utashangaa wanachukuliwa na huwa wanachukuliwa,kwakweli inafikirisha sana. Umri unazidi kwenda,biashara zikianzishwa,hazinawiri,zinakufa.Inachanganya sana,na kinacholeta mkanganyiko ni pale unapotolewa mfano wa mtu aliyepata ajira kwa koneksheni na ni wa 2020, inasikitisha sana,tunabaki dillema,tufanyaje,ila ndiyo hivyo,ngoja tuombe tena.
Utakuja KUNISHUKURU siku Moja we inaonesha mchanga Sana katika nchi hii unakuta majina kama 5000 yameshawekwa orodha hayo yaliyo Baki 8000 ni random samplingAcha uongo
Pole mkuu
Dah pole sana mkuu, lakini usiache kuomba mkuu. Mungu ni mwema all the time ninaamini this time utapata, USIACHE.Usijali mkuu,ntaomba tena na nimesisitizwa niombe tena,asubuhi hii,nimepigiwa simu na wanaonifahamu,kunisihi nisiache kuomba,wanasema huwezi kujua yawezekana nikapata.Ila inakatisha tamaa sana,2016 ni parefu sana na bado uhakika wa kupata ni mdogo,japo wanasema watu wa kiingereza ni moja ya walengwa,unaweza ukashangaa mimi wa 2016 nikaachwa,halafu mwenye sifa kama yangu aliyemaliza 2022 anaingia kwenye mfumo.Inasikitisha sana,hadi wengine tunawaza kua labda kuna kosa ambalo Mungu tulishamkosea,adhabu yake ndiyo hii tunaitumikia.
Pole sana mkuuUsijali mkuu,ntaomba tena na nimesisitizwa niombe tena,asubuhi hii,nimepigiwa simu na wanaonifahamu,kunisihi nisiache kuomba,wanasema huwezi kujua yawezekana nikapata.Ila inakatisha tamaa sana,2016 ni parefu sana na bado uhakika wa kupata ni mdogo,japo wanasema watu wa kiingereza ni moja ya walengwa,unaweza ukashangaa mimi wa 2016 nikaachwa,halafu mwenye sifa kama yangu aliyemaliza 2022 anaingia kwenye mfumo.Inasikitisha sana,hadi wengine tunawaza kua labda kuna kosa ambalo Mungu tulishamkosea,adhabu yake ndiyo hii tunaitumikia.
Shida ipo apa na sometime hua mtua anaeza kua amemaliza 2020 kwenye mkeka akaonekana na anaandikwa kamaliza 2016 lakin wanaomfaham wanajua kamaliza lin. Inasikitisha sanaYaani hela zitapigwa sana,na mbaya zaidi watu waliopata kwa koneksheni awamu iliyopita,watatumika kama mfano.Watu wataongeza magari Tuombe tu.Mimi nimesoma English language kama teaching subject chuoni na nimemaliza 2016,ila kila nikiomba,sipatagi,hawa wa 2020-2021 na sasa 2022, utashangaa wanachukuliwa na huwa wanachukuliwa,kwakweli inafikirisha sana. Umri unazidi kwenda,biashara zikianzishwa,hazinawiri,zinakufa.Inachanganya sana,na kinacholeta mkanganyiko ni pale unapotolewa mfano wa mtu aliyepata ajira kwa koneksheni na ni wa 2020, inasikitisha sana,tunabaki dillema,tufanyaje,ila ndiyo hivyo,ngoja tuombe tena.
Karbia nusu ya ajira wanachaguliwa kwa connection , nusu inayobaki mnawekewa gombania goli watoto wa maskiniYaani hela zitapigwa sana,na mbaya zaidi watu waliopata kwa koneksheni awamu iliyopita, watatumika kama mfano. Watu wataongeza magari Tuombe tu. Mimi nimesoma English language kama teaching subject chuoni na nimemaliza 2016, ila kila nikiomba, sipatagi, hawa wa 2020-2021 na sasa 2022, utashangaa wanachukuliwa na huwa wanachukuliwa, kwakweli inafikirisha sana. Umri unazidi kwenda, biashara zikianzishwa, hazinawiri, zinakufa. Inachanganya sana, na kinacholeta mkanganyiko ni pale unapotolewa mfano wa mtu aliyepata ajira kwa koneksheni na ni wa 2020, inasikitisha sana, tunabaki dillema, tufanyaje, ila ndiyo hivyo, ngoja tuombe tena.