Utapeli, soma hapa kabla hayajakukuta

Utapeli, soma hapa kabla hayajakukuta

asante kaka kwa taarifa ila serikali yetu inabidi hiwe makini na hawa wafanyakazi wa mitandao ya simu maana hao kwa namna nyingine wanahusika na huu wizi wa mitandao
 
Wapendwa kuna utapeli imeingia mjini wa kupigiwa cm na mtu anakwambia nenda ofisi za tigo (yumkini akasema voda, airtel, etc) anakutaja majina yako yote na anasema namba yako imechaguliwa kupata promotion na hivyo nenda ofisi za watoa huduma ukapate hizo hela. Anakupatia Namba za kuingiza ili uretrive (upate) namba ya utambulisho wako huko tigo, voda,....na anaanza na coding *148*......#. Maana yake ni kwamba ukibonyeza reli utakuwa unaruhusi kumtumia ama hela ama password yako ili kumwezesha yeye kutoa hela. Kwa wanaopenda hela za bure yumkini wameishalizwa wengi lkn bado zoezi hilo la utapeli linaendelea. number yenyewe inayotumika (yumkini anazo nyingi) ni 0658104199, nimeona niwataarifu muwe makini. Pls share taarifa hii na mengine ili kuvunja mtandao huu. Najua watu wakipata kuelewa itawagharimu muda kubuni mbinu nyingine.
Asante sana..! duuuuh
 
Haya sasa dept ya Cybercrime fanyieni kazi taarifa,trace dat number.
 
Kazi kwenu wapenda vya bure,hujashiriki bahati nasibu yoyote unaambiwa umeshinda unakubali.wajinga ndio waliwao
 
shkran sana mkuu...maana unaweza jikuta umepata kumbe umepatikana
 
sANTE KWA TAARIFA, nashauri ubadili avater yako maana inashiria uko kwenye mieleka ya uchaguzi ujao, angalia usije ukaukosa ustahiuki meya.

Hahah sawa mkuu nitabadilisha
 
Back
Top Bottom