[h=3]mwingine huyu ...
Tony Went <tonywent@yahoo.fr>[/h]
habari natumaini mzima naitwa tony nimepata contact zako linked in
ninapofanyia kazi kunapost zimetoka za Engineer Electrical
kwasasa npo off arusha nafanyia Ethiopia Number yangu +255752296495
eti nae alitaka kuniingiza mjini..
Ushauri: Tuwe makini tunaotafuta kazi mitandaoni kwani tangazo la hawa mbwiga nililiona Zoom tanzania so kama nisingekua makini nadhani Elfu 40 zingeondoka kirahisi tu.ukizingatia Elimu tuliyoipata tumeipata kwa ghalama kubwa sana hvyo tuitumie katika tambuzi mbalimbali ili hawa jamaaa washindwe kwa jina la Mungu.