Mimi nikishaona wanaanza na mambo ya kutoa hela kwa mafungu, najua tayari wanahamisha hela wasepe. Na walivyo wajanja, wanawajaza wanachama wao eti wawe wapole na wavumilivu. Wanatoa hela kwa kuzingatia viwango vya vip. Ila watasepa na hela za watu wengi sana