HABARI WAKUU
Jana niliomba kazi kupitia zoomtanzania kuhusu data entry zilitolewa nafasi sita, muda huu nimepokea sms ifuatayo ikiwa na maelezo ya kufanya baadhi ya mabo ili nipate kazi, sms ndo hii
"Habari, naitwa Shafii From Data Plus Dar. Nipo kikaoni tunapitia CV tupate majina ya kuinterview for Data Entry Post. I Like your Cv na ntakusaidia upate hii kazi kwa sharti lifuatalo, Mshahara ni 1.5 Million kwa mwezi, ukilipwa mwezi wa kwanza utanipa Sh. Laki 3 for helping you, If you agree do the following, By saa 11 Jioni uwe Umetuma Scaned Copy Ya vyeti Vyako to africfuture@gmail.com Na Sh. Elfu 30 by Tigo pesa kwenye namba hiihii au M-pesa 0764642365 ili nimpe mtu wa interview anipe maswali ntakutumia kwenye e-mail, Nikitoka kikaoni utapigiwa simu lini uje for Interview".namba ya mtumaji ni 0652795853
huu si wizi wakubwa?