njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
nahusikaje mama yangu OPRAH WINFREY? mimi mwenyewe naishi kwa kuuza ebooks hapa jamii forums na kuhangaika huku na kule ila siasa zetu za kiwaki sana siyo ccm, ACT, Chadema wananikera sanaMlivyotuimbia tuisome namba na mkatusomesha kweli namba, watumishi wa serikali hakuna nyongeza ya mishahara, wastaafu hakuna madai, vijana hakuna ajira.
lazima tuzipige ili going forward tuheshimiane, hii ya watu kuibuka na kujifanya wao ni wazalendo sana wa nchi hii na wengine ni wasaliti, hii ya watu kujiona wao ndo kila kitu nchi hii lazima ifike mwisho. Nitamshukru Mungu sana Kama amemleta Lissu kutuongoza kutuondoa kwenye ujinga huu.mimi nipo na yeyeNasema hivi ,shukrani kwa ccm mlipotufikisha ,asanteni sana naamini bado mna nguvu ya kuendesha nchi hii hata kwa mika 100 ijayo ILA NYIE CCM,ACT NA CHADEMA MNAKERA SANA...
Kama unakumbukumbu kwenye migomo ya kule vyuoni wale waliokuwa wanajifanya wao wanapenda kusoma sana na hawajihusishi na migomo mwisho wa siku ndo waliishia kuwa wahangamkinaliza mambo yenu mtanikuta hapa nikiiisifia nchi yangu
sawa fanyeni yenu ila november tafadhali wengine tuendelee na maisha yetuKama unakumbukumbu kwenye migomo ya kule vyuoni wale waliokuwa wanajifanya wao wanapenda kusoma sana na hawajihusishi na migomo mwisho wa siku ndo waliishia kuwa wahanga
nilliacha mimi ?jinga kabisa weweeeWewe mpuuzi kweli kweli, ungeipenda nchi yako ungeiacha mikononi mwa watu kama hawa? Hebu angalia hii video, shenzi type.
View attachment 1528203
Wengine tuko kwenye harakati kuondoa takataka kama hizo, wewe unadai unaipenda nchi, je umeridhika na mambo hayo. Kama hujaridhhika utadai vipi unaipenda nchi huku inaangamia? Ndio maana nimekuambia ni mshenzi...sasa wewe nawe niambie kwa nini mimi ni mjinga.nilliacha mimi ?jinga kabisa weweee
Umejaa mihemuko kwa yale yaliyokwisha kutendeka, yanayoendelea kutendeka ama kauli za ahadi kuhusu matarajio ya kesho ya mama Tanzania. Dogo hupaswi kukimbilia kutoa hitimisho la jumla bila ya kutambua maudhui ya mada husika kwa kina.Nasema hivi ,shukrani kwa ccm mlipotufikisha ,asanteni sana naamini bado mna nguvu ya kuendesha nchi hii hata kwa miaka 100 ijayo ILA NYIE CCM,ACT NA CHADEMA MNAKERA SANA...
mmeanza kuitana matakataka tena?HII NCHI NI SPECIAL ZAWADI YA MUNGU acheni ujinga wenuWengine tuko kwenye harakati kuondoa takataka kama hizo, wewe unadai unaipenda nchi, je umeridhika na mambo hayo. Kama hujaridhhika utadai vipi unaipenda nchi huku inaangamia? Ndio maana nimekuambia ni mshenzi...sasa wewe nawe niambie kwa nini mimi ni mjinga.
hitimisho lako ni nini?Umejaa mihemuko kwa yale yaliyokwisha kutendeka, yanayoendelea kutendeka ama kauli za ahadi kuhusu matarajio ya kesho ya mama Tanzania. Dogo hupaswi kukimbilia kutoa hitimisho la jumla bila ya kutambua maudhui ya mada husika kwa kina.
mitaala ibadilishwe watoto wa primary waanze kufundishwa umuhimu wa nchii duniani,we are special,UNYONGE BASI NDUGU ZANGU
Nasema hivi ,shukrani kwa ccm mlipotufikisha ,asanteni sana naamini bado mna nguvu ya kuendesha nchi hii hata kwa miaka 100 ijayo ILA NYIE CCM,ACT NA CHADEMA MNAKERA SANA...
Lengo ni hili, mkimaliza ma beef yenu mjue November tunahitaji kuendelea na maisha yetu,Tanzania oyeeHaki ya mungu sijaelewa chochote ulichokiandika na nimeshindwa kuelewa lengo la topic yako.