Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie

Kujimaliza tu sio.. hahaha!
 
Hii ni ofisi ya umma au yenu binafsi kama ya umma itoshe kusema hamna adabu halafu kukiwa na maendeleo mabaya nchini mnasakizia rais au ccm kumbe ushenzi uko kwenye damu so mnataka raisi aje ofisini awazuie msifanye ufuska
 
Uliwahi kuskia hii kauli Kokote kambi
 
Hii ni ofisi ya umma au yenu binafsi kama ya umma itoshe kusema hamna adabu halafu kukiwa na maendeleo mabaya nchini mnasakizia rais au ccm kumbe ushenzi uko kwenye damu so mnataka raisi aje ofisini awazuie msifanye ufuska
Sasa ukijua lama ni ofisi ya umma au ya private itakusaidia nini?

Msimuingize Raisi kweye raha za maisha binafsi ya watu!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…