\kwa mantiki hiyo wewe unapenda mtu akuanze na gia ya kukuhonga, inaelekea wewe unapenda kuhongwa na unaamini kuhongwa ndio kupendwa, dah we wa ajabu kweli i might gues we ni materialist girl if am not mistaken. Pole lol!

Hili swali hata mi nilishawahi kuulizwa ...
Nafikiri lengo la wadada ni kutaka kupima tu ufahamu wetu wanaume na mtazamo wetu juu ya ndoa kabla ya wao kufanya maamuzi magumu ...
Mara nyingi ukimtaka msichana kimahusiano ya kimapenzi huuliza UTANIOA au unataka kunichezea tu? kwa mfano msichana kama huyo ukimwambia ndiyo nitakuoa halafu ukishamaliza mambo yako ukasepa,kunamadhara gani katika future yako?