Utani wa mimba uishe mwaka 2018

Kuna mmoja alinitania tena mwanafunzi, nikaona milango ya gereza inaniita!!
 
Kuna ishu ya wadada kutishia kua ana mimbaa na siku zake hazioni baada ya kula tunda alafu ukimwambia mkapime anakwambia nlikuwa nakutania... Hii tabiaa ya kutuibia kwa style hii IISHIEE MWAKA 2017...!!
Ndio ukifika usicheze peku jivalishe ndala kuepukana na hilo.
 
Mara ya kwanza msichana ananiambia ana mimba nilikua form three, maji hayanyweki, chakula hakipiti, kila mtu namuona adui, binti akitaka tuongee nakua mkali, maskani stori hazipandi yaani nilikua shit vibaya mnoooooo.

Darasani tunafundishwa uzazi lakini taarifa hazieleweki na sikuwahi ona applicability yake. Elimu ya Afya ya uzazi ni finyu mno kwa nchi yetu jamani khaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…