Utani na nafasi yake katika mapenzi

Shimba ya Buyenze

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
183,580
Reaction score
1,105,912
Mawasiliano wazi vikiwemo vicheko na utani ni mambo ya muhimu sana katika mapenzi. Na utani mara nyingi huishia katika vicheko jambo ambalo ni jema si kiafya tu bali pia katika uhai na afya ya mapenzi.

Siyo tu kila wakati watu mko serious. Huwa nafurahi sana nikiona wapenzi wakitaniana au kucheza michezo ya kitoto - mara hao wakimbizane, mara mbaba anamdabua mama kikofi cha tako, mara hivi, mara.

Hii screenshot nimeiona Whatsapp nikafurahishwa nayo. Ni wazi wapenzi hawa wanapenda sana matani na napenda kuamini kuwa penzi lao hawa litakuwa limejaa vicheko tele.

Tufurahie kampani ya wapenzi wetu, tutaniane, tufurahi, tucheke. Maisha yenyewe mafupi.

​
 
utani katika mahusiano ni muhimu sana...ila inategemea na utani...kuna jamaa alikuwa akitaniana sana na girlfriend wako...siku moja katika utani binti kamwambia jamaa 'hebu nitolee kibamia chako hapo'...ndo ulikuwa mwisho wa utani...
 
Kweli huo utani ulipitiliza. Inawezekana pengine hakuwa na kibamia. Au pengine binti alitumia mwanya wa utani kutolea dukuduku lake lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu. Naweza kuziona athari za kisaikolojia kwa mwanaume huyu kama kweli alikuwa na kibamia...LOL
 
SHIMBA YA BUYENZE...unataniana na wife wako...una mwambia baby leo nitakupiga 'muti' ile mbaya...mara unaona anacheka na kukuuliza kwa mbo.o gani uliyo nayo au hicho kipisi...utani utaendelea!!

Kama kweli una kipisi, mwanamke anayekupenda hawezi kuvuka mpaka huo hata kama mnataniana kwani atakuwa anajua makovu ya kisaikolojia atakayokupatia. Wanawake aisee huwa wanatuvumilia sana ndiyo maana huenda mpaka kujifanya kuwa wamefikia kilele ili tu kuturidhisha nasi tukiondoka hapo tunajipiga vifua "leo nimetoa dozi ya kufa mtu" kumbe binti wa watu anasonya tu kimoyo moyo. Naamini mwanamke anayekupenda hawezi kukwambia kuwa una kibamia, u mbumbumbu wa sanaa ya kitandani na mengineyo ya aina hiyo kwani anajua madhara yake. Hata ukiwa na kibamia cha kufa mtu basi utasifiwa tu na atajitahidi sana kukuaminisha kuwa kwake hicho ndo hasa kinamfaa....
 
utani katika mahusiano ni muhimu sana...ila inategemea na utani...kuna jamaa alikuwa akitaniana sana na girlfriend wako...siku moja katika utani binti kamwambia jamaa 'hebu nitolee kibamia chako hapo'...ndo ulikuwa mwisho wa utani...

Ebu fafanua vzuri kdogo mkuu....hapo demu alimaanisha nini????
 
SHIMBA YA BUYENZE...unataniana na wife wako...una mwambia baby leo nitakupiga 'muti' ile mbaya...mara unaona anacheka na kukuuliza kwa mbo.o gani uliyo nayo au hicho kipisi...utani utaendelea!!

ahaaaa...mkuu umetisha sana. aisee kama ni mimi nitacheka ila nitabaki kuumia sana rohoni, na nikimbambia lazima awashwe moto ili heshima iwepo.

Kweli umenena vema mkuu.

kati ya vitu nlivyonyimwa ni utani...kumtania motto wa kike na inacost sana
Je, unaweza fafanua jinsi namna inavyo kugarimu mkuu?

utani raha sana jamani.....
hasa mkitaniana wakati mood za wote 2 ziko poa. Mbona hizo mbavu zitabaki kuuma kwa vicheko ...
​utani sawa lakini kwa utani huu hapana
kwanini mkuu mikatabafeki ?
 
Last edited by a moderator:
Wanaume tuache ubinafsi, kwa mfano wewe ungemwambia una maziwa yamelegea kama malapa, angejisikiaje? halafu ukamwambia kuwa Mpenzi si ni utani tu? No nadhani tujifunze kuheshimu hisia za wenza wetu pia, kama tumeamua kujiingiza kwenye utani basi tukubali na athari zake, hata hivyo sishauri kuwa na utani wa kitoto kiasi hicho
 
hasa mkitaniana wakati mood za wote 2 ziko poa. Mbona hizo mbavu zitabaki kuuma kwa vicheko ...
sio mbavu kuuma tu, unasikia hadi hamu ya kufanya nae tendo..... ukimwona mwenzako ana smile na kucheka wakati wote, kuna raha flani unaipata hasa ukiwa unampenda.
 
sio mbavu kuuma tu, unasikia hadi hamu ya kufanya nae tendo..... ukimwona mwenzako ana smile na kucheka wakati wote, kuna raha flani unaipata hasa ukiwa unampenda.

mmhhh...kumbeeee? leo nimejua , one day i will try to make. nione namna itavyokuwa. I am taking it as a lesson.
 
Napenda utani ila sio ule uliopitiliza. Kidogo tu kwa afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…