Kampuni ya Samsung Electronic ilitoa simu aina ya Note 7 na ikakubwa na majanga mengi sana ya kulipuka kwa betri na mpaka kupelekewa kupigwa marukuku.
Utani sasa dhidi a hiyo simu Tazama utani zaidi
Apple wamepigana vita vizuri na wameshinda ukiangalia pindi galaxy note 7 ilivyokuwa inalipuka sometimes zilikuwa mbinu za competitor ili waendelee kuuza Simu zao
Apple wamepigana vita vizuri na wameshinda ukiangalia pindi galaxy note 7 ilivyokuwa inalipuka sometimes zilikuwa mbinu za competitor ili waendelee kuuza Simu zao
Always na appreciate vitu vyao (Apple) but hata hivyo Apple waliwashinda kesi dhidi ya kuipa tecknoloji yao, but all in all kuna ule usemi unasema "Adui yako muombe njaa, hata nyoosha mikono juu hata kama ni Shujaa"