Utanda-wazi balaa...

Mkuu ukirudia tena utapigwa ban kwa kuhatarisha usalama wa mbavu za wana JF!!!!
 
Hahahahahahahaha nimezipenda hzo 2 eti mashine ya mama yake ni ya diseli.
Na hiyo ya garage et binti kaona small Suzuki. Hahahahaha.
 
Duh! Eti mashine ya diesel. Huyo binti alijifanya kauzu lakini dingi kamuonesha kwamba sikio halizidi kichwa. Next time akiona lazima auchune.
 
Refresh of the day
 
Duh! Eti mashine ya diesel. Huyo binti alijifanya kauzu lakini dingi kamuonesha kwamba sikio halizidi kichwa. Next time akiona lazima auchune.

hahaha dingi kauzu zaidi ya dagaa....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…