Utamu wampeleka jamaa jela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utamu wampeleka jamaa jela

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by s.fm, Jan 31, 2011.

 1. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  I hope mnaendelea vizuri wana JF

  Jamani hivi hii staili ya kujirekodi video huku mkiwa kwenye 6 kwa 6 inaleta ladha gani? sijui pale mnapoamua kuangalia ile video na kuona jinsi mlivyokua mnapeana mambo au la,
  Issue kama hizi zimekua zikitokea sana katika nchizi zilizoendelea hasa marekani ambapo ma celebrities huzipost kwenye internet na watu kuziona.

  Sasa huyu celebrity Nazril Irham wa huko Indonesia yamemkuta, wamejirekodi yeye na mpenzi wake ambaye pia ni celebrity pamoja na msichana mwingine wakifanya ngono na kuzipost kwenye internet.
  Jamaa kafungwa miaka mitatu na nusu chini ya sheria ya Pornograpy ya mwaka 2008 ya nchi hiyo.

  fuatilia:BBC News - Indonesia sex tape star is jailed
   
 2. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  duh.....lol....
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Safi sana,aende akajifunze ustaarabu na heshima jela
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nafurahi wamemfunga,mbona michache jamani????wamuongezee ati.......:A S 20::A S 20:
   
 5. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  dah mbaya zaidi huyo tunamuita kioo cha jamii!
   
Loading...