Utamu wa penzi

Utamu wa penzi

NIKHA

New Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
1
Reaction score
0
habari wana mmu
yan tokea nianze kitendo cha kukutana kimwili na mwanaume cjawahi kusikia raha kamili ya mapenzi nisaidieni tatizo no nini
 
Umeanza lini huu mchezo?je unapata matayarisho ya kutosha b4 hujafanya?
 
hiyo hiyo unayoipata ndo ndo raha kamili....kwani nani kakuambia kuna nyingine?
Maana toka umeanza mapenzi ndo hiyo umekuwa ukiipata...sasa hiyo nyingine ni ipi?
 
Tatizo wanaharibiwa na mapornography na blog za kishenz hizo ndo raha sasa sijui unataka raha zipi embu fafanua yaonyesha unajua raha inavyofanana
 
Huu udadasi huu unawaponza sana akina dada achen jaman ridhika na ulichonacho duuuh
 
habari wana mmu
yan tokea nianze kitendo cha kukutana kimwili na mwanaume cjawahi kusikia raha kamili ya mapenzi nisaidieni tatizo no nini
Kwahiyo mwanzoni ulikuwa unakutana na wanawake wenzako? na umejuaje kama kuna raha nyingine zaidi ya hiyo unayoipata?
 
Siamini ati hii ndio post yako ya kwanza humu:shock:
 
Kwa hiyo NIKHA umejiunga JF kutafuta utamu wa penzi....? Relax, Hapa ndo nyumbani kwa utamu wa penzi
 
Mmmh subir watakupm watakaokuambia watakupa raha hadi ufike kilele cha mlima Kilimanjaro
 
habari wana mmu
yan tokea nianze kitendo cha kukutana kimwili na mwanaume cjawahi kusikia raha kamili ya mapenzi nisaidieni tatizo no nini

Hajui namna ya kukufanya usikie raha, anajali dudu yake tu. Unaweza kucheza na mtu ad akasikia raha bila kupiga hata goli moja, kias kwamba ukija kupiga goli mtu anakuwa ameshaenjoy, inahitaji ufundi zaidi, pia unatakiwa kuwa muwazi kwa boy wako ajue. maelezo ni mengi kwakweli niPM. au subiri ushauri mwingine hapa
 
Ukiona njia kuu ni foleni jaribu kuchepuka kidizaini..unaweza ukapata hizo raha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom