Utamu wa Ndoa: Uzoefu wangu wa miaka 17 katika ndoa

Washauri wavulana wetu wanaokula kuku mataira kuwa hekima katika ndoa siyo kuwa mpole wakati wote kama zezeta bali ukali pia ni sehemu yake.
Vijana wangu ,Leo ninanitimiza miaka 17 kwenye ndoa ,ndoa inahitaj mwanaume mwenye akili sana ,kwa ninayoyaona kwa vijana Wa dot com ndoa zetu hiz mtazisikia tu ,namshukuru Mungu kwa hatua hii
 
Hongera ndugu.
Hakika unapaswa kushukuru na pia usisahau kuwaelekeza njia ipasayo hao vijana wa dot. Com (kuna wanao au wajukuu zako pia).

Nb:
Vijana kila mnapotaka kuoa kumbukeni haya;-
"Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye ; Bali MKE MWENYE BUSARA HUPEWA na BWANA."
 
Mkuu

Ungeshukuru tu ulipofika halafu unyamaze!

Hii unajifanya kushukuru halafu unatoa maneno ya kejeli kwa kizazi kingine ni kuonesha ulivyo mpumbavu kiwango cha SGR!

Sio kwamba wewe una akili sana zaidi yao wote!

Na huyo mkeo sio kwamba ndio exceptional,probably kikwako!

Halafu,majitu yote yanayotoa maneno ya kusifia ndoa zao mbele za watu ili kudharau wengine hua ni gays au ni beta males waliopata ndoa kibahati hawakutegemea shavu la ndoa!

Mostly!

Hivyo kaka shukuru ulipofika then watakie wadogo zako kila la heri au nyamaza tu maana bado hujavuka mto!
 
Kabisa mkuu akili za hawa vijana ni shida sana ,wanahitaj brush kwenye ubongo,siku tatu wameachana
 
Mkuu

Ungeshukuru tu ulipofika halafu unyamaze!

Hii unajifanya kushukuru halafu unatoa maneno ya kejeli kwa kizazi kingine ni kuonesha ulivyo mpumbavu kiwango cha SGR!

Sio kwamba wewe una akili sana zaidi yao wote!

Na huyo mkeo sio kwamba ndio exceptional,probably kikwako!

Halafu,majitu yote yanayotoa maneno ya kusifia ndoa zao mbele za watu ili kudharau wengine hua ni gays au ni beta males waliopata ndoa kibahati hawakutegemea shavu la ndoa!

Mostly!

Hivyo kaka shukuru ulipofika then watakie wadogo zako kila la heri au nyamaza tu maana bado hujavuka mto!
Kijana hongera kwa povu ,nitakualika miaka 3 ijayo kwenye miaka 20 ya ndoa yangu.,sina maneno mengi
 
Back
Top Bottom