utamu wa chakula upo mdomoni

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
296
Kuna mzee mmoja nilikuwa naongea nae kuhusu game la kitandani,akasema kwamba utamu wa chakula ni mdomoni,akiwa na maana kuwa starehe kwa mwanamke wakati wa tendo la ndoa ipo juu juu ya uke na c ndani,wanaume wengine hukosea kwa kusukuma nyama ndani mpaka amsikie mwenza akiguna hapo ndipo mwanaume hudhani kuwa kamstarehesha mwenzake,wadau mnalionaje hili suala?ni kweli "utamu wa chakula upo mdomoni"????
 
A spot is near to the door not more than three inches

habari ya hayo madude makubwa ni mbwembwe tu za mitaani
 
kwani katerero ina mdomo?...mbona huwa haing'ati!
 
sikubalian nae kabisa raha iko sehem zote ila tu inategemea sehem husika inaguswaje basi.
 
Bila shaka hapa tunahitaji akina dada na akina mama watiririke mauzoefu yao ili kuverify hii maneno ili wale ambao hatujui wapi ni wapi tujichotee maujuzi hapa tujue areas of mikuno concentration!
 
sikubalian nae kabisa raha iko sehem zote ila tu inategemea sehem husika inaguswaje basi.

Mwalimu ungefunguka vizuri hapa..manake ukisema sehemu zote unakuwa hujaeleweka..
Wenzio tumetega antena ili tujue angles za kukunia...
 
Mwalimu ungefunguka vizuri hapa..manake ukisema sehemu zote unakuwa hujaeleweka..
Wenzio tumetega antena ili tujue angles za kukunia...
SnowBall hebu nenda pita uzi wangu wa jana kuna mahali nilimention hizi sehemu bana lol!
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu uzi gani tena huo?
Manake na wewe una manyuzi mengi mno..

ule wa mwanamke wa kiafrika. anyways sehem zote za mwili wa mwanamke zawez kutumika kumpa raha provided kwamba anayeziitumia anajua uzitumia mfano nyuma ya goti la mwanamke ni eneo ambalo lina nyege sana yaani mwanamke akiguswa eneo hili kwa mikono yenye mahaba lazima tu nanga ipae ama kumnyonya mwanamke vidole sasa ni mpaka ujue jins ya kunyonya manake waweza kunaayaoanaya kwa kuumiza ama kwa kumpatia raha.
 
asante kwa maujuz wana jf. Swali langu ni je unawezaje kumjua mwanamke aliye keketwa? Na kama amekeketwa, kuna haja ya kuingiza sana ama mdomoni? Kuna aliye wahi kumfanya aliye keketwa anisaidie?
 
mdomoni tamu na ndani tamu zaidi hasa ukipata kile kitu cha 1,2,3 kulia,kushoto 1,2,3 kati 1,2 chezea ndani ww utanasa!
 
bora weekend hii imeisha
maana inatakiwa iitwe 'wiki ya ngono funguka'
 
A spot is near to the door not more than three inches

habari ya hayo madude makubwa ni mbwembwe tu za mitaani

uwiii pamoja na mpunda wangu shemejio hunisifia kumbe ni bure anajifanyisha! Nipe maujuzi ya kupunguza "Munyama" wangu basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…