Utamu upo wapi?

Utamu uko kwenye jambo linalokupa raha au furaha. Kama vile utamu wa maongezi, utamu wa filamu, utamu wa pesa, utamu wa mapenzi...pia kuna chungu ya mapenzi!!!
 

bwana utamu ni utamu tu, hata kama ni utamu wa kujing'ata
 

Muulize Roz mhando atakwambia utam uliko.
 

Wewe mkorofi. Utamu ni sukarisukari tu bwana.
 
Wewe mkorofi. Utamu ni sukarisukari tu bwana.

Sio kama mkorofi ila mm huwa napata tabu kufaham utamu mana biriani halitiwi sukari lakini ukila utajiramba na hata vp mbona vya chumvi vinakuwa vitamu? Au hujala wali kwa haragwe mzee? Au vileja vya chumvi ni noma utamu mpaka utosini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…