Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,198
Hiyo ndio fact kwa wale madada wanaojifanya wao ndio kila kitu yaani utasikia huyu mwanaume kwangu ndio amefika ,
Utamu ninaompa ni kiboko sijui nini na vimaneno kibao.
Sasa mr Zero Iq nimekuja leo kuifuta hiyo kauli ya kwamba mnatupa Utamu,
Ni kama Utamu basi Utamu tunao wenyewe kwenu tunachofata ni uterezi tu hakuna kingine.
Ni uterezi tu ila Utamu tunamiliki wenyewe kwa hiyo punguzeni kujigamba kwamba mnatupa Utamu semeni tu mnatupa uterezi unaofanya tuutoe Utamu wetu.
Kuna anaebisha.?