Utamu Dah

DUh halafu ndo iwe mbuzi Katoliki umeiremba kwa ndimu na chachandu hasara kubwa mnoooo!!!
 
Halafu ndo akiba mfukon wala stoo hakuna kitu na niusiku, mwe unalala njaa hivihivi unaona au vipi unazoa kimtindo!
 
Kwa waliopitia JKT hakuna hasara hapo, ni kuzoa tu na kuendelea na makamuzi.
 
ohooo sass itakuwaje yaani nilale na njaa kabisa

No haiwekani nitazoa ntaweka kwenye sufuria af ntaweka maji mengi mchanga utaenda then mimi ntaoopoa mambo
heli nile bila ladha kuliko kulala na njaa!
 
Hapo 'bacteria' na vimelea vingine vimeruka, kwa mseja hapo hakuna tatizo. Shida ni kwa wale waliooa/walioolewa na wana nyodo. Huyo jamaa anavyoonekana hana ubavu wa kususa.
 
Wewe usikie tu "Ukimwaga mboga mimi namwaga ugali" shuhuli yake ni nouma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…