HILLARY MUSHI
Member
- Nov 24, 2012
- 10
- 3
Ni kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta wa kuishi nae ila kila ninaye kutana nae na kuongea nae, mimi kwa upande wangu naona kama wanakuwa wanaigiza sasa sijui nitamtambuaje kwamba anafaa kuwa wangu wa kudumu nae...wadau mniambie
Pole.Msubiri tu atakuja.Utamtambua kwa vigezo ulivyojiwekea.Zaidi sana endelea kuomba
Tell me the truth..Wewe ni mkristo,muislamu,dini ya jadi au mpagani?...jibu hilo afu twende sawa..Nisije kupa jibu afu nikakuonea.We nawe, sasa ni ushauri gani huo, aombe nini sasa............?
Ni kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta wa kuishi nae, ila kila ninaye kutana nae na kuongea nae, mimi kwa upande wangu naona kama wanakuwa wanaigiza, sasa sijui nitamtambuaje anaye kuwa wangu wa kudumu...wadau mniambie
Tell me the truth..Wewe ni mkristo,muislamu,dini ya jadi au mpagani?...jibu hilo afu twende sawa..Nisije kupa jibu afu nikakuonea.
nafuata imani za kale za wahenga dada yangu, kwani nimekosea kuuliza ?
Ngoja nikupe siri...
Siku hiizi hawa viumbe ni pesa tu ndio inawatuliza kama huna hela basi uwe na dalili zote za kwamba huko mbeleni mambo yatakuwa mswano yaani mchakarikaji hapo ndipo utawapata wa kutosha ushindwe mwenyewe..
Huwa wanabadilika kama vinyonga, waweza muona anaigiza kumbe anataka kujua thamani yako.
hakuna mwanamke anayependa maisha ya shida usawa huu kwanza maisha yenyewe yashakuwa mafupi.
Ni kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta wa kuishi nae, ila kila ninaye kutana nae na kuongea nae, mimi kwa upande wangu naona kama wanakuwa wanaigiza, sasa sijui nitamtambuaje anaye kuwa wangu wa kudumu...wadau mniambie
Ngoja nikupe siri...
Siku hiizi hawa viumbe ni pesa tu ndio inawatuliza kama huna hela basi uwe na dalili zote za kwamba huko mbeleni mambo yatakuwa mswano yaani mchakarikaji hapo ndipo utawapata wa kutosha ushindwe mwenyewe..
Huwa wanabadilika kama vinyonga, waweza muona anaigiza kumbe anataka kujua thamani yako.
hakuna mwanamke anayependa maisha ya shida usawa huu kwanza maisha yenyewe yashakuwa mafupi.
Kwa upande wangu naona kam vile wanawake unaowapata wako sababu ya kitu fulani
ambacho kinawafanya wakishakipata waamue kukuacha solemba.
Cha kufanya ni kujitahidi kuweka vigezo vyako ambavyo vitakupelekea uweze kumpata
unayemhitaji awe ako wa maisha,
Kwangu mimi vigezo nilivyoviweka kwa mwanamke nimtakae ni kama vifuatavyo:
1. Awe mpole na mwenye kauli nzuri ambazo zitatufanya tuishi kwa amani.
2. Awe mchapakazi na wala asiwe mvivu/mtegeaji kazi.
3. Awe ananisaidia ushauri pale ninapomshirikisha.
4. Awe mwenye malengo mazuri na mapenz yetu.
5. Awe mcheshi na asiyependa kukasirika mara kwa mara.
6. Sura, umbo, maalio hivyo ni nyongeza tu.
Ngoja nikupe siri...
Siku hiizi hawa viumbe ni pesa tu ndio inawatuliza kama huna hela basi uwe na dalili zote za kwamba huko mbeleni mambo yatakuwa mswano yaani mchakarikaji hapo ndipo utawapata wa kutosha ushindwe mwenyewe..
Huwa wanabadilika kama vinyonga, waweza muona anaigiza kumbe anataka kujua thamani yako.
hakuna mwanamke anayependa maisha ya shida usawa huu kwanza maisha yenyewe yashakuwa mafupi.
Believe me my dear Mtambuzi,,pesa sio kila kitu..Siku hizi kuna idadi kubwa ya wadada wamesoma,wana hela,wametulia na wanahitaji heshima tu ya jina la mrs... bhaaaas...
Believe me my dear Mtambuzi,,pesa sio kila kitu..Siku hizi kuna idadi kubwa ya wadada wamesoma,wana hela,wametulia na wanahitaji heshima tu ya jina la mrs... bhaaaas...
Ni kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta wa kuishi nae, ila kila ninaye kutana nae na kuongea nae, mimi kwa upande wangu naona kama wanakuwa wanaigiza, sasa sijui nitamtambuaje anaye kuwa wangu wa kudumu...wadau mniambie
Kipi wanachofanya ambacho kimekuwezesha kuhitimisha kwamba wanafanya maigizo?
Ndio maana watu wanakesha kwenye maombi na wengine kwa waganga...Hata Bible imedhibitisha hilo..kuwa kutakuja kipindi wanawake saba watamuendea mwanaume mmoja na kuomba angalau waitwe kwa jina lake tu na mambo mengine juu yao (nimesahau kifungu)Hivi ukiitwa 'mrs mtambuzi, au mrs tanmo, au mrs asprin ndo heshima? Yaani heshima ni kuitwa mrs naniliu?