Ukiwa popote pale duniani, unaweza kumtambua mwanamke anayetoka jijini Dar es salaam kwa kumtazama tu...Utajuaje?
TUMBO : ASILIMIA 95% WANAWAKE WANAO ISHI JIJINI DAR ES SALAAM WANA MATUMBO MAKUBWA a.k.a VITAMBI... Si ajabu, comedian Mpoki wa Orijino Komedi katika moja kati ya comedy zake anasikika akimwambia mtu : " Ndo maana una tumbo kubwa kama wanawake wa Dar es salaam " ).
Badilikeni jamani, acheni hiyo michemsho na bia,...fanyeni mazoezi.
mmmmhhh...i ril doubt that do you knw what 90% look like...???Hypothesis yako sio kweli. Mie mtaa ninaoishi asilimia 90 hawana vitambi
Ukiwa popote pale duniani, unaweza kumtambua mwanamke anayetoka jijini Dar es salaam kwa kumtazama tu...Utajuaje?
TUMBO : ASILIMIA 95% WANAWAKE WANAO ISHI JIJINI DAR ES SALAAM WANA MATUMBO MAKUBWA a.k.a VITAMBI... Si ajabu, comedian Mpoki wa Orijino Komedi katika moja kati ya comedy zake anasikika akimwambia mtu : " Ndo maana una tumbo kubwa kama wanawake wa Dar es salaam " ).
Badilikeni jamani, acheni hiyo michemsho na bia,...fanyeni mazoezi.
Ukiona hivyo ujue na wanaume wa Dar tunapenda wanawake wenye matumbo makubwa lol
Ukinionyesha wanawake wa Dar es salaam, watano wenye flat belly, nakupa shilingi laki tano za kitanzania..
ASILIMIA 95% WANAWAKE WANAO ISHI JIJINI DAR ES SALAAM WANA MATUMBO MAKUBWA a.k.a VITAMBI...
Daaah! Kwa maana nyingine hawa wote ni waathirika eeh?
so offensive mkuuhao watakuwa wahaya au wachaga
Acha kutunyanyapaa kaka, binti mzuri lazima aishi Bandari ya Salama Babu weeeeWanaharufu ya jasho mbaya,si unajua dar joto na shida ya maji wengi wanapga pasport tu.