wansawa JF-Expert Member Joined Oct 11, 2020 Posts 857 Reaction score 858 Sep 21, 2021 #61 Mke mwema hutoka kwa Mungu, ibada ni mafunzo ya uvumilivu, kusheshimu,hekima,huruma,upole wa kiasi, na unyenyekevu. Hapo mke utaishia nae na sifa zote utaziona hata kama huwa anaenda kimboka.
Mke mwema hutoka kwa Mungu, ibada ni mafunzo ya uvumilivu, kusheshimu,hekima,huruma,upole wa kiasi, na unyenyekevu. Hapo mke utaishia nae na sifa zote utaziona hata kama huwa anaenda kimboka.
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Sep 21, 2021 #62 ERoni said: Hizo tabia hapo labda tukamchonge espy wa maboksi, ninayemuona hawezi kuwa hivyo, hata nusu Click to expand... Acha kumsingizia mama yangu anazo zote hizo na zaidi. Wewe ndiyo kiwembe.
ERoni said: Hizo tabia hapo labda tukamchonge espy wa maboksi, ninayemuona hawezi kuwa hivyo, hata nusu Click to expand... Acha kumsingizia mama yangu anazo zote hizo na zaidi. Wewe ndiyo kiwembe.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,617 Sep 21, 2021 #63 ERoni said: Hizo tabia hapo labda tukamchonge espy wa maboksi, ninayemuona hawezi kuwa hivyo, hata nusu Click to expand... Weeeh mie material wife acha kabisa, hadi najionea wivu
ERoni said: Hizo tabia hapo labda tukamchonge espy wa maboksi, ninayemuona hawezi kuwa hivyo, hata nusu Click to expand... Weeeh mie material wife acha kabisa, hadi najionea wivu
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 13,829 Reaction score 39,483 Sep 21, 2021 #64 RReigns said: Kwani vina shida gani hvyo viatu? Click to expand... Unawajua Slay Queens ?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,617 Sep 21, 2021 #65 Kipangaspecial said: Awe na bikra au Bikra sio muhimu ? Click to expand... Acha unaa basi!
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,603 Reaction score 119,761 Sep 21, 2021 #66 Karma said: Acha kumsingizia mama yangu anazo zote hizo na zaidi. Wewe ndiyo kiwembe. Click to expand... Kwa hiyo mimi babako umeamua kunikosea heshima, ni kiwembe?
Karma said: Acha kumsingizia mama yangu anazo zote hizo na zaidi. Wewe ndiyo kiwembe. Click to expand... Kwa hiyo mimi babako umeamua kunikosea heshima, ni kiwembe?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,617 Sep 21, 2021 #67 Karma said: Acha kumsingizia mama yangu anazo zote hizo na zaidi. Wewe ndiyo kiwembe. Click to expand... Leo nakuruhusu kasafari kamoja dota
Karma said: Acha kumsingizia mama yangu anazo zote hizo na zaidi. Wewe ndiyo kiwembe. Click to expand... Leo nakuruhusu kasafari kamoja dota
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,603 Reaction score 119,761 Sep 21, 2021 #68 Espy said: Weeeh mie material wife acha kabisa, hadi najionea wivu Click to expand... Sio kweli...NAKUJUA!
Espy said: Weeeh mie material wife acha kabisa, hadi najionea wivu Click to expand... Sio kweli...NAKUJUA!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,617 Sep 21, 2021 #69 ERoni said: Kwa hiyo mimi babako umeamua kunikosea heshima, ni kiwembe? Click to expand... Daktari amesema mtoto asigombezwe.
ERoni said: Kwa hiyo mimi babako umeamua kunikosea heshima, ni kiwembe? Click to expand... Daktari amesema mtoto asigombezwe.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,688 Sep 21, 2021 #70 Wangu anasifa hizo zote...
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,617 Sep 21, 2021 #71 ERoni said: Sio kweli...NAKUJUA! Click to expand... Kweli naona tumefikia ile hatua ya kuvumiliana
Mr Attorney JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 25,536 Reaction score 34,680 Sep 21, 2021 #72 Espy said: Acha unaa basi! Click to expand... Nimegusa maslahi yako ? Usijali , njoo kwangu mpenz hata kama sio bikra nitaku treat kama Queen of my own dynasty
Espy said: Acha unaa basi! Click to expand... Nimegusa maslahi yako ? Usijali , njoo kwangu mpenz hata kama sio bikra nitaku treat kama Queen of my own dynasty
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Sep 21, 2021 #73 ERoni said: Kwa hiyo mimi babako umeamua kunikosea heshima, ni kiwembe? Click to expand... Baba bora tu uwe mpole nisije nikamtaja na yule 'shangazi' aliyeninunulia baiskeli juzi hadi ukaniambia nisimwambie mama
ERoni said: Kwa hiyo mimi babako umeamua kunikosea heshima, ni kiwembe? Click to expand... Baba bora tu uwe mpole nisije nikamtaja na yule 'shangazi' aliyeninunulia baiskeli juzi hadi ukaniambia nisimwambie mama
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Sep 21, 2021 #74 Espy said: Leo nakuruhusu kasafari kamoja dota Click to expand... Ndiyo niko namalizia bilauri ya mwisho ya Kimario hapa nikalale
Espy said: Leo nakuruhusu kasafari kamoja dota Click to expand... Ndiyo niko namalizia bilauri ya mwisho ya Kimario hapa nikalale
Mr Attorney JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 25,536 Reaction score 34,680 Sep 21, 2021 #75 Karma said: Ndiyo niko namalizia bilauri ya mwisho ya Kimario hapa nikalale Click to expand... Nikuimbie Bia Tamu ?
Karma said: Ndiyo niko namalizia bilauri ya mwisho ya Kimario hapa nikalale Click to expand... Nikuimbie Bia Tamu ?
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Sep 21, 2021 #76 Espy said: Daktari amesema mtoto asigombezwe. Click to expand... Umenikumbusha ile ya yanga
casanova69 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 2,366 Reaction score 2,180 Sep 22, 2021 #77 Eti atakayekufa kwa ajili yako ndio Wife material,huyo ndio wa kuoa!?
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,603 Reaction score 119,761 Sep 22, 2021 #78 Karma said: Baba bora tu uwe mpole nisije nikamtaja na yule 'shangazi' aliyeninunulia baiskeli juzi hadi ukaniambia nisimwambie mama Click to expand...
Karma said: Baba bora tu uwe mpole nisije nikamtaja na yule 'shangazi' aliyeninunulia baiskeli juzi hadi ukaniambia nisimwambie mama Click to expand...
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,617 Sep 22, 2021 #79 Karma said: Ndiyo niko namalizia bilauri ya mwisho ya Kimario hapa nikalale Click to expand... Mweeh! Hutaniwi
Karma said: Ndiyo niko namalizia bilauri ya mwisho ya Kimario hapa nikalale Click to expand... Mweeh! Hutaniwi
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,617 Sep 22, 2021 #80 Karma said: Umenikumbusha ile ya yanga Click to expand... Uishie hapo hapo!