Utamshauri nini kijana huyu?

Utamshauri nini kijana huyu?

Maendeleo Ni mipango sio kulipwa mamilion mengi kwa mwezi mmoja, hana akili ya maisha tu, kazi anayo tena ina mshahara mzur ajipange atapiga bingo,

Ni kweli, lakini unaonaje kama una mipango mizuri halafu na kipato kiko vizuri!!. Tatizo la huyu dogo degree ni hiyo hiyo lakini ameachwa mbali sana kimapato kwa mara 4. Anafikiri kufaulu sana kwake ndio kumemponza!!
 
Mwambie ndugu yako anione nimuoneshe darasa la saba wenye mafanikio makubwa na wametoa ajira.

Sijajuwa bado hivi vyuo vyetu huwa wanakwenda kusomea ujinga au lah?
 
Kwanza amshukuru Mungu kwa kumpa hicho anachopata, kuna watu 8 yrs hadi leo hawajapata ajira, na wanasota kwa namna zao, pili atulize akili tena atulie, na apange maisha yake, kuangalia wengine wanapata nini na kukaa unawaza juu yao si busara, aendelee kufanya kazi, na kujipanga kutimiza ndoto zake, na pia aendelee kuangalia matangazo ya ajira mbalimbali, hawezi jua, zaidi kumuomba Mungu tu.
 
Atakapoifuata hiyo ajira ya milion 8, ndipo atagundua kuna wengine wenye elimu hiyo hiyo mahali pengine wanapokea milioni

10, akiifuata hiyo ajira ya milioni 10 atagundua kuna wengine wanapokea milioni 15.

Kwa kifupi: maisha hayalingani hata kwa wenye elimu au fani zenye kufanana.

Suluhisho: Aridhike na kile alicho nacho. Ajibidishe kwa kufanya kazi kwa bidii. Wakati mwingi mafanikio huja kwa kusubiri.
 
Kama vip akachukue fomu,october ajichanganye kwenda kutoana mapovu mjengoni.
 
Huyo Bro Amekosa Shukrani Na Kuridhika Kwa Mshahara Anaoupata Aje Huku Mtaani Aone Binadamu Wenzie Wanavyoteseka!
 
it sound kama mtoa mada ni wewe ndo upo katika hali hyo then unatafuta ushauri....
 
Unajua siku zote akiwa na hao marafiki wanaongea habari za kazi lakini hawaongei vipato vyao, saa ndio amejua kuwa hapati kitu kabisa. Na hapa tambua wamesoma pamoja, degree hiyo hiyo, yeye ameongeza ya pili na yupo njiani kupata ya tatu. Shule ilivyo ngumu na anachotegemea anatamani kuacha.


Hizo milioni 5 wanafanya kazi wapi? wana nyadhifa gani?

ha ha ha ha vijana Wa kibongo huwa mnapenda story za mbingu ya Saba!!!
 
Wasomi wetu bhana yani kipaumbele chao cha kwanza ni kutaka kulipwa vizuri kana kwamba anaweza akawa tajiri kwa kuajiriwa.
 


Ni kweli, lakini unaonaje kama una mipango mizuri halafu na kipato kiko vizuri!!. Tatizo la huyu dogo degree ni hiyo hiyo lakini ameachwa mbali sana kimapato kwa mara 4.Anafikiri kufaulu sana kwake ndio kumemponza!!



Umezuuunga umejitia mpini mwenyewe teh teh teh


Sikiliza kijana acha wivu na kusotea mafanikio ya wenzio tone ya ujumbe wako inaonesha wazi Una lengo la kuuponda ufaulu Wa mwenzio kisa wewe huna!

Ushauri Wa bure hizi blah blah zitakufariji tu nyuma ya keyboard ila hazina faida chanya kwako Kama unatamani vya juu kazana utavipata!!!

Ma lecturer wakiwadinya huko mnakuja kupumulia JF teh teh teh komaa kijana kunywa sapu kusikuchanganye kiivyo maisha yanaendelea tuu pole kwa kuikosa GPA ya ndoto yako!!!
 
it sound kama mtoa mada ni wewe ndo upo katika hali hyo then unatafuta ushauri....


Huyo anatafuta Faraja baada ya kuona amepata ifaulu duni huko chuoni so anakuja na zile theory za kufeli mtihani si kufeli maisha teh teh
 
Back
Top Bottom