Utampataje mdanganyifu katika Ndoa?

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Ni mbinu zipi za weza kutumika kumjua mtu mwenye zaidi ya mpenzi mmoja kwenye ndoa? Au mwenye nyumba ndogo? Tusaidiane.

Nimejaribisha kusoma hapa sikupata jibu la uhakika. Zinaweza kuwa njia kuu au kuna nyingine huku uswahilini.


  1. No One Wants A Cheating Spouse!!!
Your spouse no longer shares their day with you. When the come home/over there is a lot of silence. If you do ask them about their day, they are very short with you. No details, or stories. Just yes and no answers.

  1. Their work schedule has changed dramatically. Either they are starting work earlier or staying at work later. They may make up excuses to go to “work” at weird hours of the day/night. There are new things expected of them at work like meetings and dinners.
  2. They have a new hobby. However, this new hobby is not something they would usually be into. It takes up a lot of their time and when you try to talk to them about why they are doing it they get mad at you. “I like trying new thing, get off my back” is often a response.
  3. Your spouse’s appearance is suddenly very important to them. They are wearing a new perfume or doing something new with their hair. There are new clothes in their closet and new personal car product in the bathroom.
  4. Your sex life has seriously diminished. They hardly kiss let alone touch you at all. The never seem to be in the mood. When you do have sex you feel very detached from them. You get the feeling that they are faking it. They make up an excuse to end it quickly.
  5. When they get a phone call they leave the room. When you ask them about it they say it’s business, but you know better. When they get a text message they hide the screen from you, or again leave the room. They never leave their phone around, and even take it to the bathroom.
  6. If you walk by your spouse or walk into the same room as them, and they are on the computer. Any and all programs are closed immediately. Or they may just close the computer all together if it is a laptop.
  7. Showering as soon as they get home has become a daily thing. Right when they walk in the door off come the clothes and in they go to the shower. They hardly say hi to you. You try and follow them and they shut the door in your face.
  8. When you ask your spouse simple questions like where they were or what they did with their day the get really defensive. They try and make you feel guilty for having the nerve of taking an interest in their life. How dare you try and care.
  9. Everything starts a fight. The way you wash the dishes is wrong, the way you blow your nose is irritating, even the way you fart is wrong. Their fuse has become uncommonly short. The littlest thing sets the off.
 
Hamna formula ya kumjua kila mdanganyifu!Kama una wasiwasi na mtu wako.. nyendo..mabadiko na maendeleo yake ndo yanayoweza kukupa majibu!BTW nlikua sijaona hizo dondoo ila ukweli ni kwamba zote zinapingika!Perfume mpya au kua na interest mpya haviwezi kua vigezo uya kwamba mtu anacheat!Watu hua wanabadilika na wakati kwa sababu tofauti!
 
Tatizo la hizi signs zinazisemekana kuwa huashiria cheating bado hazileti udhibitisho wa kuaminika hadi umemkamata mtu live..... Hata hivyo hujitokeza wakati umeshasalitiwa mara kadhaa...., hivyo you will normally find yourself too late....
 
Utamjua kwa matendo yake tu, kuna vitu lazima utamgundua tu mwenzako sababu hujavizoea. na kipindi hiki mtu anabadilika tabia completely na ukali usio na sababu
 
Kwa kiasi kikubwa ni kweli.... kama uko kwenye mahusiano ukiona mabadiliko kama haya kaa mguu sawa!
 
Utamjua anavyochelewa kurudi ugomvi usio sababu na visafari visivyo na mpango. simu atakuwa anaificha na kuweka password atakuwa anahairisha kuwa na wewe kimahaba zaidi.
 
Kwanza, acha papara! Jambo la msingi ni wewe kuendelea kuwa mwaminifu na mvumilivu kwake, na amini kuwa mapenzi ni kihozi, ipo siku ambayo ataropoka bila kujitambua huenda kwa maneno au kwa vitendo, kwani itafikia hali ambayo atayaona ayafanyayo sirini kuwa kama ni ya kawaida tu! Kumbe ndipo atakaponaswa na mtego wa panya! Unapofanya hayo endelea kuwa makini katika kutunza kumbukumbu kwa yale matukio ambayo yanaendana na utovu wa nidhamu ya ndoa. Si hivyo tu, jitambue kuwa ndoa yako imeingiliwa na jitahidi kujirekebisha na kurudisha mapenzi yako ya kwanza. Jiulize ni kwanini ameanza udanganyifu kama hakuwa hivyo!
Kumbuka kivuli cha fimbo hakimfichi mtu jua.:hug:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom