Utampa???

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,223
Reaction score
16,900
Umepata safari kikazi wakati wa kupanga nguo zako mke wako anakuletea box la condom in case ikitokea dharura utumie unapokea kwa furaha na kusema asante kwa kunijali mke wangu, wakati upo kwenye gari mkeo anakukimbilia anakuomba pakiti moja kama na yeye akipata dharura atumie, je utampa??
 
Haka kahadithi ka kitoto kamenikumbusha nilipokuwa chekechea....
Hadithi hii kakufundisha nani? Kakwambia inatufundisha nini??

haya mpigieni makofi

Afu tunamalizia na cheichei shangazi...
 
Haaaahaaaaa!!!! Hii inaitwa mkuki kwa nguruwe.
 
Haka kahadithi ka kitoto kamenikumbusha nilipokuwa chekechea....
Hadithi hii kakufundisha nani? Kakwambia inatufundisha nini??

haya mpigieni makofi

Afu tunamalizia na cheichei shangazi...
uje teeeena shangazi shangazi shangazi chei shangazi
 
kwanza kipind ananipa tu nazikataa bora nkanunue mwenyewe.
 
kwa jinsi navyoweza ku act kama chizi nitampa tu lkn nisimfume!
 
Kama kaniomba ntampa maana mtoto akiomba wembe mpe ......
 
Kama mimi ingekuwa hivi kitendo cha kunipa box la Condom it means hauniamini, na kitendo cha wewe kuniomba packet ya Condom it means ninahalalisha utumie all in all kama ungekuwa mke wangu bora hilo box la condom libaki nyumbani tuaminiane tu.
 
Iko hivi, nitachukua halafu sitatumia.
Nikirudi safari nitamkabidhi na kumwambia sikupata dharura, halafu nitamwambia naye anikabidhi...nikikuta limetumika la kwake ndipo shughuli itaanzia hapo
 
ntampahela akanunue dukani nyingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…