mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,555
- 1,801
Ufisadi wa Richmond amekufa pasipo kutoa siri ya Richmond ilikuwa niyanani kati ya Yeye na Mkwere.Lowassa nikati ya wanasiasa waliochangia umasikini kwa watanganyika kwa ufisadi wao na Mkwere,by Dk Slaa voice.Habari Wadau,
Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa
Soma: Breaking News: - Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia
Katika mwaka enzi za uhai wake Mzee alipata kuwa na ushawishi Mkubwa nchini kiwango cha kuweza kujaza mikutano katika Uchaguzi wa Urais mwaka 2015.
Binafsi ntamkumbuka sana kwa uthubutu wake wa kuweza kujiuzulu nafasi ya Uwaziri Mkuu alipohusishwa na tuhuma za ufisadi.
Wewe utamkumbuka Lowassa kwa mambo gani?
Alithubutu Kuvuta na kutumia Maji ya ziwa Victoria Mwanza , Shinyanga,Kahama,Nzega,Tabora ,Igunga.Habari Wadau,
Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa
Soma: Breaking News: - Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia
Katika mwaka enzi za uhai wake Mzee alipata kuwa na ushawishi Mkubwa nchini kiwango cha kuweza kujaza mikutano katika Uchaguzi wa Urais mwaka 2015.
Binafsi ntamkumbuka sana kwa uthubutu wake wa kuweza kujiuzulu nafasi ya Uwaziri Mkuu alipohusishwa na tuhuma za ufisadi.
Wewe utamkumbuka Lowassa kwa mambo gani?
kwa maamuzi magumu shule za kataHabari Wadau,

Ushahidi wa kujiharishia unao?mtu mzima ovyoooNamkumbuka kwa mambo mawili. Kudai uchumi wetu ni sawa na nyama ya kasungura kadogo, na kujiharishia jukwaani Chato.
Augustine Lyatonga Mrema na Maalim Seif Sharif Hamad watakuwa sio 'WATU'Lowasa alikuwa mwanasiasa bora kuwahi kutokea nchini. Ni mtu pekee aliyewahi kuitingisha CCM