Habari wakuu wa itifaki
Naitwa Shikutengi, nimekuwa nikivutiwa sana na Jimii forum kwa siku nyingi sasa leo uzalendo umenishinda nimeamua kuwa muumuni (member) naomba mnipokee
niko kisiasa/uchumi/michezo zaidi
shukrani zangu za dhati nazitanguliza
Wenu
Shikutengi