Hoja ndio hiyo imetolewa sasa nitawahoji wanaJF. Wanaokataa waseme sio............ Wanaokubali waseme ndio >>>>>>>>>>>>>ndiooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!
Wanaokubali wamepita kwahiyo tumepata mwanachama mpya wa JF.
Makofi tafadhali, pwa, pwa, pwa, pwa, !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!111111