HODI JAMII FORUM
JINA:-NGIDO DD
>>Naomba kubadilishana mawazo katika tasnia hii ya TEKNOHAMA ambayo ndiyo kimbilio la dunia kwa ujumla wake.
SWALI:-
>>>>>>>Je ni watanzania/watanganyika wote watakaomudu gharama za mfumo mpya wa KIDIJITALI AKUTOKA analojia ifikapo tareha 31/12/2012 ifikapo saa 6.00 na dk 1 usiku?
>>>>>>>>Naomba hoja/maoni/mapungufu/muono mbele na ushauri manake mpaka sasa hivi kila kampuni ya matangazo ya luninga hujipangia bei na vifurushi katika ving,amuzi vyao na TCRA ipo,sielewi,,na si ule MKONGO WA TAIFA si umeshafika katika taasisi nyeti zote?
HAYA NJOONI TUSEMEZANE,,:A S angry: