WE ARE ANONYMOUS
JF-Expert Member
- Mar 23, 2015
- 217
- 284
Mji si lazima uwakilishwe na alama ya jengo refu au la kisasa kupita yote kwa kuwa technologia ya ujenzi inabadilika klia siku. Inatakiwa alama maalumu ya kihistoria au vinginevyo. Rio de Janeiro - sanamu ya yesu, Paris - mnara wa Eiffel, New York - liberty statue, Arusha - clock tower, Monduli - ...
Jiji la Dar es Salaam linakuwa kwa kasi kubwa,
Miaka ya zamani jiji hili lilikuwa linatambulishwa kwa kuona picha ya ghorofa la kitega uchumi (ukiachilia mbali mnara wa askari), baadae yakajengwa majengo mengine marefu na jengo la kitega uchumi likafunikwa, likaja jengo la Benjamin Mkapa Tower, (Zamani mafuta house), na sasa zama za jengo la benjamin mkapa tower pamoja na PPF tower zimeshapita, na kwa sasa utambulisho mpya ni haya majengo yaliyopo jirani, ghorofa la PSPF pamoja na ghorofa la One Bandari tower ambayo yote yapo Sokoine drive.
Hii ni tofauti na jiji la Nairobi ambalo miaka nenda miaka rudi limekuwa likitambulishwa kwa picha za jengo la kituo cha mikutano cha Kenyatta.
View attachment 254261
Mkuu asante kwa taarifa but usingejaribu kulinganisha Dar na Nairobi kwa sababu kwa majengo mazuri na ya kisasa Dar hayawezi kulinganishwa na Nairobi hata kidogo.Hahahahahahahahaaa
utambulisho wa jiji hautegemei urefu wa jengo. Angalia utambulisho wa jiji la London na majiji ya Australia. Jengo au mnara, hata wa saa linaweza kukubalika kutokana na history au architectural design yake. Askari monument ya Dsm in utambulisho mzuri kuliko hayo majengo. Pia Azania Front na St Peters churches ni bora kuliko.Uwepo wa rangi za kungara au mataa pamoja na plastic structures mfano Sea Front bldg ni kero. or eye soreJiji la Dar es Salaam linakuwa kwa kasi kubwa, Miaka ya zamani jiji hili lilikuwa linatambulishwa kwa kuona picha ya ghorofa la kitega uchumi (ukiachilia mbali mnara wa askari), baadae yakajengwa majengo mengine marefu na jengo la kitega uchumi likafunikwa, likaja jengo la Benjamin Mkapa Tower, (Zamani mafuta house), na sasa zama za jengo la benjamin mkapa tower pamoja na PPF tower zimeshapita, na kwa sasa utambulisho mpya ni haya majengo yaliyopo jirani, ghorofa la PSPF pamoja na ghorofa la One Bandari tower ambayo yote yapo Sokoine drive.Hii ni tofauti na jiji la Nairobi ambalo miaka nenda miaka rudi limekuwa likitambulishwa kwa picha za jengo la kituo cha mikutano cha Kenyatta.View attachment 254261