HRKAS 2008
Member
- Nov 17, 2012
- 6
- 1
Nina jamaa yangu ana mke na mtt mmoja,na mke wake ana wivu sana juu yake kiasi kwamba hataki kumuona jamaa amecmama na mwanamke kwan anadhan anaibiwa.Jamaa yangu ile hali inamkera na akaamua kutafuta kiburudisho nje,cha ajabu walipofika guest utambi unagoma kabisa na amejaribu mara kadhaa kwa wanawake tofauti bila mafanikio,lakin akirud home ngoma inawika kama kawa
hiyo nzuri.mama kesha rekebisha.mali yake ameipiga kufuli na funguo anayo mwenyewe.akitaka anafungua anatumia weeeee! Akitosheka anafungia tena mpaka wakati mwengine.nina jamaa yangu ana mke na mtt mmoja,na mke wake ana wivu sana juu yake kiasi kwamba hataki kumuona jamaa amecmama na mwanamke kwan anadhan anaibiwa.jamaa yangu ile hali inamkera na akaamua kutafuta kiburudisho nje,cha ajabu walipofika guest utambi unagoma kabisa na amejaribu mara kadhaa kwa wanawake tofauti bila mafanikio,lakin akirud home ngoma inawika kama kawa
Huyo ata kama ningekua najua dawa ya ku unlock hiyo makitu, ningepiga tu kimya.
Software ya ku unlock hiyo kitu ninayo lakini sifundishi mtu. Ova
kwanini usini-PM tu best yangu?