Utambi wa jamaa yangu unagoma awapo mechi za nje

HRKAS 2008

Member
Nov 17, 2012
6
20
Nina jamaa yangu ana mke na mtt mmoja,na mke wake ana wivu sana juu yake kiasi kwamba hataki kumuona jamaa amecmama na mwanamke kwan anadhan anaibiwa.Jamaa yangu ile hali inamkera na akaamua kutafuta kiburudisho nje,cha ajabu walipofika guest utambi unagoma kabisa na amejaribu mara kadhaa kwa wanawake tofauti bila mafanikio,lakin akirud home ngoma inawika kama kawa
 
sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,259
2,000

Basi atulie tu mkewe!maana vitu vingine hata mungu apendi
 
Lisa

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
1,549
1,195
Tena Mm ningemuombea usigome tu ila uwake na ulipuke puuuuuuuuuuuuh! Ili akirudi home akaulizwe na mkewe kiwanja chake kiko wapi ihali ana hati miliki.
 
Azizi Mussa

JF-Expert Member
May 9, 2012
8,810
2,000
nina jamaa yangu ana mke na mtt mmoja,na mke wake ana wivu sana juu yake kiasi kwamba hataki kumuona jamaa amecmama na mwanamke kwan anadhan anaibiwa.jamaa yangu ile hali inamkera na akaamua kutafuta kiburudisho nje,cha ajabu walipofika guest utambi unagoma kabisa na amejaribu mara kadhaa kwa wanawake tofauti bila mafanikio,lakin akirud home ngoma inawika kama kawa
hiyo nzuri.mama kesha rekebisha.mali yake ameipiga kufuli na funguo anayo mwenyewe.akitaka anafungua anatumia weeeee! Akitosheka anafungia tena mpaka wakati mwengine.
 
Blaine

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
2,277
0
huyo jamaa wako kakutuma uje kumuombea ushauri wa zinaa?? sema tuu ndio wewe mwenye 'matatizo'
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,023
2,000
Huyo ata kama ningekua najua dawa ya ku unlock hiyo makitu, ningepiga tu kimya.
 
gollocko

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
2,945
2,000
Duh! pole yake, ila ajue siku utambi ukikubali tu lazima agandane tutamkuta Temeke hospt
 
BJEVI

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
1,359
1,195
Biblia takatifu na vitabu vingine vya dini vinakataa zinaa.Biblia katika kitabu cha KUTOKA 20:14 kinasema hivi USIZINI,kwa maana hiyo dhambi nyingine zote zafanyika nje ya mwili ila zinaa ndo pekee yafanyika mwilini .Na hii ni dhambi mbaya sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa acha kaa na mkeo anakufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,wivu ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano hata mimea ina wivu.
 
amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,390
2,000
Nina jamaa yangu ana mke na mtt mmoja,na mke wake ana wivu sana juu yake kiasi kwamba hataki kumuona jamaa amecmama na mwanamke kwan anadhan anaibiwa.Jamaa yangu ile hali inamkera na akaamua kutafuta kiburudisho nje,cha ajabu walipofika guest utambi unagoma kabisa na amejaribu mara kadhaa kwa wanawake tofauti bila mafanikio,lakin akirud home ngoma inawika kama kawa

nampendaje huyo mkewe
jamani wanawake wote tungekuwa kama hivi ingekuwa raha sana bravo.
Sasa mleta mada umekuja tumpe dawa ili utambi usimame atoke nje ya ndoa au??
Cheers to all women in the world
 
wagaba

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,106
1,500
mwambie aache uoga kama yuko siriazi na viazi vya nje. kama vipi mwambie apige lager kwanza ili kichwa kikae sawa.
hajapigwa kufuli wala nn.
ikishindikana, apotezee tu. kula nje si lazima. kwanza sababu yake ya kutaka kula nje ipo awkward - eti wife ana wivu!!!
Akiacha wivu ataanza kulalamika 'wife hampendi siku hizi'
 
Mwanamalundi

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
3,123
2,000
Hayatuhusu. Pelekeni umbeya wenu kwenye mitandao mingine. Sio hapa JF. Hapa ni kisima cha elimu. Kuna watu wazima na heshima zao wanasoma na kuchangia hapa. Acheni umbeya. Msirudie tena kuleta mada zisizo na mashiko.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom