masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,409
- 14,116
Mkuu sehemu za kuzunguka mlima Rungwe kuna maajabu mengi ambayo hayatangazwi.Duh ni nzuri aisee, hembu tuletee photos zingine, nikiwa na nafaasi nitatembelea huko maeneo... Hivi ni wapi wamesema kuna maji ya mto/ziwa flani yana joto/moto in such away ukiweka yai linaiva>> Nadhani smomewhere Mbeya hukohuko