Utalii unakufa, ajira kupotea na kilimo kuangamia

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,956
3,243
VAT kwenye utalii 18% ni kitanzi kwa utalii

Number of tourists has gone down, tourism is not doing well compared to Mauritius, South Africa, Botswana, Namibia.

If some few countries do charge VAT, Their park entrance fee is very low.

Tourist package include 4 x 4 safari car, Lodges, air flight ticket and Government fee.

Safari car uses fuel and already 18% VAT is paid on fuel....

Landing fee on Airport is very high in Tanzania...... Why flight tickets from Europe to Africa or USA to Africa is cheaper in Kenya and Rwanda....

Airflight fares are very expensive to travel to Tanzania......Do you know why tourists land in Kenya Nairobi before coming to Tanzania.

Agriculture will be affected......tourism business will collapse and Agriculture produce will not get market.....

Tanzania Shilling will drop in value, due to less $.

Economy will drop..

Where is TTB to advise the Government?

Does TTB understand how to prepare tourist package and that fuel is paid VAT ....
 
Waziri mmoja ambae ni Prof ameropoka kuwa hawataki watalii masikini...ambao hawawezi kulipa VAT! Sijui ccm wanawafanya nini hawa wasomi wetu! Wameshaweka njaa vichwani akili zote ziko tumboni na kwenye masaburi....!! Wanaropoka tu! Wale wanaokuja huku wame save mwaka mzima wanakuja kwa bajeti zao kamili kuwawekea vat ni kuwakomoa! Tunajikomoa wenyewe! Sawa na ada ya kuweka majina kwa plate number! Labda kama lengo ni kufuta ile biashara....ama sivyo hakuna ataeweka kwa 10m!
 
Waziri mmoja ambae ni Prof ameropoka kuwa hawataki watalii masikini...ambao hawawezi kulipa VAT! Sijui ccm wanawafanya nini hawa wasomi wetu! Wameshaweka njaa vichwani akili zote ziko tumboni na kwenye masaburi....!! Wanaropoka tu! Wale wanaokuja huku wame save mwaka mzima wanakuja kwa bajeti zao kamili kuwawekea vat ni kuwakomoa! Tunajikomoa wenyewe! Sawa na ada ya kuweka majina kwa plate number! Labda kama lengo ni kufuta ile biashara....ama sivyo hakuna ataeweka kwa 10m!

Nchi inayotegemea mapato yao kwa plate number za magari ya watu ambao hawazidi hata 100 nchi nzima.
Kuna kila aina ya vyanzo vya mapato, milima, mabonde, mito, madini ya kila aina ila sisi tupo busy na pombe, sigara na plate number za magari.
Halafu hao wasomi waliopendekeza hayo walisoma kwa kodi za watanzania.
 
Hii nchi ya ajabu sana,halafu wanafukuza wanafunzi UDOM kwa kukosa milioni 800 ambazo wangezipata kwenye utalii
 
naomba gazeti lolote lichapishe hii habari

Kuna news magazine Eturbo news imeandika kuhusu VAT

Kwanza watalii walishabook na kulipa trip za mpaka July 2017....

VAT itaanza lini? wakati watalii walishatumiwa Invoice?
 
South Africa is strong in economic growth and 2ND IN Africa.... Tanzania Katika Africa tuna rank ngapi?

South Africa tumewazidi kiasi gani kwa vivutio? Table Mountain is World 7 Natural wonder, Kruger National park, durban beach, Drakensberg climbing.... Who know Cable car on there....

Kwa Nini South Africa wasiseme hawataki watalii masikini?

Kwani mtalii masikini na Tajiri tofauti yao ni nini ==== They park same Park entrance fee

Travel in Same Safari Car..

In the Lodge, Government get tax as usually and profit goes to Investor.....

Sasa serikali inavyomkataa mtalii budget, anapata faida gani.....Huyo mtalii tajiri analipa park fee kubwa zaidi? No

Tena ndo wataua Southern circuit kabisa, hakuna mtu atakanyaga selous au Ruaha.

Kwanza flight tickets from USA or Europe to Kenya or South Africa is cheap? Who know reasons?

Kwa nini watalii wanakwenda Kenya ndo waje Tanzania?

Tourism Economic effects touches many industries/sectors like Agriculture, Energy (magari ya utalii yanatumia fuel) e.t.c

Watanzania wauza wapi mboga mboga na matunda?

If few rich tourists visit Tanzania come to Tanzania what are damages:

A - Less park fee government will get (remember rich or poor tourists pay same amount of conservation park fee)

b- Less market of agriculture products

c- Less employment

D- Less economic multiplier effect

E - Less amount of forex (Euro and US $) will enter country and shilling value will drop

G - Due to unemployment, security is threatened due to jobless......
 
Bandarini nako hali ipo hivi:
a6378dca441093dcc7e4a54a8fa8d097.jpg
 
Back
Top Bottom