Utalaamu wa kulima zao la vanila

Utalaamu wa kulima zao la vanila

Blackhome

New Member
Joined
Apr 11, 2025
Posts
2
Reaction score
2
Wana Jf
Mimi ni kijana mwenye ndoto ya kutaka kushughulika na kilimo cha zao la vanila.
Naomba mwenye uelewa kuhusu eneo linalostahili kilimo hicho, gharama na makadirio ya faida na hasara anielimishe.
 
Back
Top Bottom