Utakosa mke shauri yako

Utakosa mke shauri yako

Nishawahi kupanda gari kutoka dar hadi nairobi.
Na demu mkaliii.
Sikumtongoza wala kumuongelesha.
Kule nairobi nikamkuta kfc akanipa namba.
Nilimpiga show la kibabe hadi sasa hivi ananiamkia whatsapp kabisa
 
Watu wazima huwa hawatongozi, mnajikuta tayari tu!
 
Back
Top Bottom