Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,434
- 31,010
Msimamo wangu ni wangu na msimamo wa watu wengine ni wao bila kuingiliana.Nina mashaka na msimamo wako juu ya hili jambo.
Unapotetea au kupinga kitu fanya hivyo kwa kuzingatia Uhuru na imani tofauti za watu usidhani kila mtu ana imani Kama zako au values zako ndo zake.
Kila mtu atakufa, kila mtu anaweza pata ukimwi.
Sent using Jamii Forums mobile app