Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,219
- 3,427
Ligi imeanzaNi barabarani siyo balabalani.
Na sijakuelewa kabisa.
Umekariri desa la mwalimu wako kilazaMwenye masikio na asikie.
Siwezi kubishana na mtu asiye na idea yeyote kuhusu history, economics, sociology na anthropology.
Ciao✌
Huo mstari wa kwanza umemaliza kila kitu.Lack of exposure ni tatizo kubwa kwa Watanzania. Niliangalia documentary ya Mghana alikwenda kutafuta maisha Ulaya, alizamia meli akaishia Italy. Alipata kazi kwenye mashamba ya nyanya.
Alibeba idea ile ya kilimo, alipotoboa alikwenda Ujerumani, alinunua matrekta na lorry. Amerudi Ghana sasa hivi anafanya industria farming ya nyanya.
Mwenye akili atachukua huu ushauri wangu ili aboreshe maisha yake.Umeandika ukweli unaowaumiza wengi,tegemea majibu ya hovyo na kejeli kuja kwako kama njia yao ya kupunguza machungu toka kwenye hili dongo la hii thd.
Lack of exposure!! Hii ndo main point.Lack of exposure ni tatizo kubwa kwa Watanzania. Niliangalia documentary ya Mghana alikwenda kutafuta maisha Ulaya, alizamia meli akaishia Italy. Alipata kazi kwenye mashamba ya nyanya.
Alibeba idea ile ya kilimo, alipotoboa alikwenda Ujerumani, alinunua matrekta na lorry. Amerudi Ghana sasa hivi anafanya industria farming ya nyanya.
Ahsante.Hongera!
Utakuwa billionaire kwa kukaa barabarani?Trust me nakomaa na barabarani nasiji kuzeeka kidenzi my big dream is to become dollars billionaire
Kwa ufupi uko mashambani kama auna mpunga wa maana ni kama unacheza kamari usione watu wanatoka nduki kote uko watu washapita
Pamoja na kwamba umeandika uzi mzuri ila una ujuaji mwingi na kujifanya mkorofi bila sababu. Huu mtazamo hauwezi kuutumia shambani uko unakosema kulimia mafenesi na mchaichai. Be humble, na kwa hali hii hutokuwa na maajabu zaidi ya kutishia watu. Ukiendeleza ligi mimi sitahusika.Si hakima bali ni hekima.
Mwenye masikio na asikie.
Siwezi kubishana na mtu asiye na idea yeyote kuhusu history, economics, sociology na anthropology.
Ciao[emoji111]
Lazma niwe mjuaji kwasababu ninajua haswa.Pamoja na kwamba umeandika uzi mzuri ila una ujuaji mwingi na kujifanya mkorofi bila sababu. Huu mtazamo hauwezi kuutumia shambani uko unakosema kulimia mafenesi na mchaichai. Be humble, na kwa hali hii hutokuwa na maajabu zaidi ya kutishia watu. Ukiendeleza ligi mimi sitahusika.
Sasa ulitaka huyo alete idea za Economics, History, Anthropology kwani huu uzi una idea gani kati ya hizo. Hivi vitu ni common sense, hakuna special field.
Ni sawa kabisa ulichosema.Uko sawa wa bongo % kubwa hatupendi kujiibidisha tunapenda sna vitonga pasipo kupiga hesabu ya kesho yake.sehemu yoyote utakayo jikita vizuri jipe miaka 3 lazima utoboe sema sasa zile akikukuta mwenzio anakukatisha tamaa then unaacha mnajiunga ktk kundi la usengenyaji,Mara siku hizi anajisikia sna baada ya kupata vi hela ...pumb@v Fanya kaz kiumbe