mshamba_mwingine JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 1,083 Reaction score 4,250 Aug 16, 2024 #121 binti kiziwi said: hahaha ninini hiyo? Click to expand... wananunua vyuma chakavu
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,897 Reaction score 67,376 Aug 16, 2024 #122 Mpaji Mungu said: Watu ni wengi sana kule Click to expand... Ila wanavituko ase
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,787 Reaction score 58,391 Aug 16, 2024 #123 Hvi mshawahi kutumia unga wa peke la parachichi kama majani ya chai
Crucified JF-Expert Member Joined Aug 9, 2024 Posts 327 Reaction score 332 Aug 16, 2024 #124 Uswahilini kuna vibe zake
Deinstein 01 JF-Expert Member Joined May 12, 2024 Posts 2,090 Reaction score 3,926 Aug 16, 2024 #125 " Kenenisa said: I)Mzazi anazaa ili aje kusaidiwa uzeeni na mtoto ii)"Amejiteka mwenyewe". iii)ujanja ni kuwa na simu ya gharama Kama Iphone. Ongezea Click to expand... Makanisa mengi yaani mtaa mmoja una makanisa kama matano
" Kenenisa said: I)Mzazi anazaa ili aje kusaidiwa uzeeni na mtoto ii)"Amejiteka mwenyewe". iii)ujanja ni kuwa na simu ya gharama Kama Iphone. Ongezea Click to expand... Makanisa mengi yaani mtaa mmoja una makanisa kama matano
wambagusta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 2,840 Reaction score 2,332 Aug 16, 2024 #126 stow away said: Only in Kenya or where TZ? Click to expand... Ni nchi moja wapo huko afrika mashariki viongozi wake wanaamini bila uchawa uwezi pata teuzi naukijifanya mjuaji wa kuwakosowa fahamu unasiku chache za kuishi duniani utatekwa na watu wasiojulikana
stow away said: Only in Kenya or where TZ? Click to expand... Ni nchi moja wapo huko afrika mashariki viongozi wake wanaamini bila uchawa uwezi pata teuzi naukijifanya mjuaji wa kuwakosowa fahamu unasiku chache za kuishi duniani utatekwa na watu wasiojulikana
incredible terminator JF-Expert Member Joined Aug 1, 2016 Posts 2,533 Reaction score 4,286 Aug 16, 2024 #127 Kuamini Duniani hakufai maisha bora yaja baada ya kifo