Utajuaje samsung galaxy yangu kama feki

Utajuaje samsung galaxy yangu kama feki

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
499
ImageUploadedByJamiiForums1409945621.600043.jpg kumekuwa na uongezekaji wa bidhaa feki ambazo zimezoeleka kwa jina maarufu za kichina! Ila leo napenda kuwajuza juu ya kutambua samsung galaxy original na feki , hiyo picha hapo juu ni picha ya simu ya mkononi kutoka kampuni ya samsung ya uko korea kusini,lakini kutokana na hali ya kibiashara makampuni yamebuni cm kama hii ya ghalama nafuu utatambuaje? 1: Angalia bei orginal hii uwa inasimama kati ya 600000 na 400000 na feki ni 150000 na 200000 na pili uitambue kwa kupiga *#0*# itatokea picha hapo ni mbwa amelala kama akutokea uyo mbwa bc iyo feki kuwa makini
 
vp inakutolea vitu kama draft hivi sasa jaribu to click iko chumba chenye kivuli cha rangi

Yes inaleta draft na zikionyesha red, blue etc. Ukibonyeza red the whole screen inakuwa red. What is the implication of this please
 
Yes inaleta draft na zikionyesha red, blue etc. Ukibonyeza red the whole screen inakuwa red. What is the implication of this please
jaribu bluu,kama aitoi uyo mbwa alielala mkuu hata laini moja feki iyooo kwani ulichukua bei gani na wapi?
 
Sidhani kama hiyo picha ya mbwa ni kwa aina zote za samsung.
Mie nina min ukipiga hiyo code inaleta menu ya LCD TEST
 
Sidhani kama hiyo picha ya mbwa ni kwa aina zote za samsung.
Mie nina min ukipiga hiyo code inaleta menu ya LCD TEST

Nadhani uko sahihi maana mimi nina note 3 from reliable source lakini haileti huyo mbwa.
 
Sikatai ila ulaya kuna maduka ambayo vitu fake havitakaa vinuse, sasa unaponiambia fake, naogopa
sijaiyona simu yako mkuu na nashidwa kukupa jibu la moja kwa moja kama alilokupa jamaa ila samsung nyingi galaxy ukipiga iko code itakuletea draft then una click itakuletea picha ya mbwa amelala chini, iyo ndio unagundua cm yako iyo ya samsung ni original korea nature,kuna zingine laini moja ila feki kila kitu kiko sawasawa kama original tafauti ni uyo mbwa tu iyo feki mbwa atokei
 
Unaclick wapi?
 
bora muingie youtube kuangalia fake mbalimbali...
au cha muhimu ujue features za original kwanza afu ndo uone kama yako inazo au haina... kusema picha ya mbwa peke yake hiyo ni code tu mtu anaweza kuweka na isionyeshe huyo mbwa afu bado ikawa feki
 
Mbwa haji kwa kubonyeza iyo *#0*# pekee bali ni mwendelezo after apo nenda kwny sensors afu image test ndio utakutana na mbwa yupo kitandani iv!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom