Utajuaje kuwa anakupenda au anakutumia tu....?

mmh! Duniani wawili wawili. Tumefanana tu maana hata huko mara sijawahi kufika.
Kama mapenzi ni sumu ina maana sisi wenyewe ndio tunaitengeneza, kwanini tuitengeneze sasa!?
Kwanini tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.
Unapotendwa usione ndio mwisho wa upendo jamani. Kila la shari lina heri ndani yake.
Naweza kubaliana na wewe kwanza sorry kwa kukufananisha.Unajua mapenz yana pande 2 wakti ww unaonyesha kumpenda yeye haonyeshi kujari na wakat ww unapochoka yeye ndo anastuka hata cjui mapenzi yanakua hv.na km napewa chance kumshaul m2 ctomshaur kuingia kwenye uhucano coz hakuna lolote atalopata zaidi ya maumivu.Husninyo mapenz haya we acha 2.but always Waliomo wanatamani kutoka na walioko nje wanatamani Kuingia.pole zao
 
Salaam wanajamii, me nina kitu kinanitatiza,nina mpenzi wangu(demu) yuko chuo fulani hapa bongo nina miaka miwili naye na ninampenda sana ila sijui kama yeye ananipenda equally.Nitumie vigezo kuangalia kama ananipenda kwa dhati? Na nifanyeje asiniache?cause i love her very much!
mpe uhuru wake na utumie nafasi hiyo kusoma alama za nyakati!!:frog:
 
Naweza kubaliana na wewe kwanza sorry kwa kukufananisha.Unajua mapenz yana pande 2 wakti ww unaonyesha kumpenda yeye haonyeshi kujari na wakat ww unapochoka yeye ndo anastuka hata cjui mapenzi yanakua hv.na km napewa chance kumshaul m2 ctomshaur kuingia kwenye uhucano coz hakuna lolote atalopata zaidi ya maumivu.Husninyo mapenz haya we acha 2.but always Waliomo wanatamani kutoka na walioko nje wanatamani Kuingia.pole zao

inaonekana ushawahi kutendwa na unakuwa mgumu wa kusahau na kusamehe.
Songa mbele ndugu. Yaliyopita yamepita.
 
Habari ndugu zangu.

Naombeni msaada kwa hili.

Mpenzi wangu yuko serious sna hadi nashindwa kuelewa kama ananipenda, he is not romantic at all. Mtu wa aina hii utajuaje kama anakupenda, we don't talk friendly, akikosea hasemi sorry ila ana adjust kwa vitendo.

Haonyeshi wivu wa moja kwa moja, ila unamsoma usoni.
 
Hata asingekuwa serious ni ngumu kufahamu mtu anayekupenda au asiyekupenda, Usanii ni mwingi siku hizi...

Mimi nafikiri kama anakusikiliza na kama ana keep promise na matendo yake yanaashiria kukupenda keep him.kuna watu si wazuri kwenye kuzungumza ila ni wa kweli kwenye nafsi zao...

Zaidi zungumza nae kwa uwazi,mwambie unavyojisikia na doubts ulizonazo....kuombwa msamaha is an issue kwa wanaume wengi,ila kama akijua kakosea na akajirekebisha wewe kinakuuma nini dada, wapo wenye kiburi hasikilizi wala habadiliki.

Kama unasoma ana wivu usoni, we ulitaka akulilie uridhike ana wivu nawe.... Kuweni wawazi, hiyo kuwa romantic mfundishe wewe, yeye ata reciprocate tu kama anakupenda, msaidie kuwa romantic.

Kuna watu si romantic by nature na ni wazito kwenye hilo, ila ni wema sana!
 
akikosea hasemi sorry ila ana adjust kwa vitendo. .

kuna rafiki yangu nae boyfriend wake akimkosea haombi msamaha anamtumia hela kwasababu anajua huyo shosti wangu atampigia kumpa ahsante. Na ugomvi ndio unaishia hapo.
Wanaume na vituko vyao.
Ila huyo wa kwako mbona sioni kama ana tatizo.
Tena bora huyo wa vitendo kuliko hao wenye porojo nyingi.
 
michelle


Asante sana lol kwa ushauri mzuri na wenye kuelimisha. Nachokupenda wewe ni tajiri wa roho kwa kushauri na ni msaada mkubwa ktk jamvi hili. Nimekusoma shostito
 
Michelle

I thought about usanii unaoendelea for a while! Kweli mapenzi ya sasa hivi kuna usanii wa kufa mtu. Watu wanasindikizana tu ila moyoni hakuna kabisa seriousness ya yale wanayoyaamini
 
Last edited by a moderator:
anakupenda huyo aaaaaaaaaaaagggggggggghhhhhhhhh yaaani ishara zote hizo za upendo ndo hadi uje uulize huku JF,KUSOMA HUJUI HATA PICHA kwamba huyu ni mbuzi o ng'ombe.
 
mm ninafikir km anakupenda na ndo mana akikosea nanajirekebisha ni hlo lamsing na akikutii kwa hlo ni lamaana zaid kuliko vingne kwan yoyote anaekutii ndo huyo anakupenda kama unataka akuonyeshe ckufich cku hz cc wanaume ni wasanii mno ni her ya huyo anaekuckiliza na kukutii so 2lia nae huyo
 
Mwanaume wa aina hii anaweza kukufanya upate alcers. Inakera sana ila usikae kimya mwambie unavyojisikia la sivyo utabaki unaumia moyoni mwenyewe anajiona yuko sawa.
 
ni afadhali huyu asiyesema ila anajirekebisha kulikoni yule wa sorry kibao na anarudia makosa yale2, huyo anakupenda and most of watu wa hivi huwa wanapenda sana.
 
Tusitamani sanaaaa mapenzi ya movie!!!
Hebu tujifunze kuwatambua hao wenza wetu wako vipi, halafu tuishi nao jinsi walivyo, maadamu nafsi yako inaridhika,
na una amani naye. Au yale unayoona yeye hayafanyi mi nafikiri yafanye wewe. Akiomba msamaha kwa matendo, basi na wewe ukubali msamaha kwa matendo na kuonyesha hiyo........................!!!!!!!!

What if akawa na maneno mengi,mazuri na matamu, halafu yakawa kinyume kabisa na matendo yake??
 
Asije kuwa ana schizophrenic disoder....

Ana dalili zote...........................
 
Back
Top Bottom