Utajuaje kama upo JF?

Greatest Of All Time

Platinum Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,550
Reaction score
62,021
Ili ujue kwasasa upo JF basi lazima ukutane na mambo haya;
° Kila member ana maisha mazuri

° Members wote wana degree na kuendelea

° Wengi wetu tunafanya kazi ofisi nyeti serikalini

° Hakuna anayetumia tecno, wote tunatumia Samsung, Iphone nk

Endeleza na wewe sifa za wana JF
 
Kila member anawajua usalama wa taifa
 
usihangaike na maisha ya watu ndugu yangu utajisumbua buree...

cha msingi we ingia humu chukua ya muhimu sepa...

Pia usisahau JF Ni mtandao wa kijamii kama ilivyo mitandao mingine tu so NO WONDERS !!!!
 
mbona mm sins yote hayo Na ninadunda Jf bila tabu!
Sifatiliiagi ya MTU hats kama n member ke kapigwa mtungo Na me wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…