Utajiri Wachimbaji wadogo ni balaa

Utajiri Wachimbaji wadogo ni balaa

  • Mapato ya Wachimbaji madogo yameongezeka mara nne (4) Mwaka 2021/22 chini ya Rais Samia.
  • wakati Rais Samia anaingia madarakani wachimbaji wadogo wa madini walichangia 20% tu sawa na TZS 124.6bn kwenye mapato yote yatokanayo na madini yaliyofikia TZS 623bn wakati huo sekta ya madini ilichangia 6.8% kwenye pato la Taifa GDP,

  • Mwaka 2024/25 mapato yatokanayo na madini yalifikia TZS1.6 Trilioni wakati mchango wa wachimbaji wadogo kwenye mapato yote yatokanayo na madini umefikia 40% sawa na TZS 640bn ikiwa sekta ya madini imechangia kwa 10% kwenye Pato la Taifa GDP.
==
mama Samia kama ni kazi anafanya kweli kweli
 
Back
Top Bottom