LopoLopo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2025
- 229
- 135
- Mapato ya Wachimbaji madogo yameongezeka mara nne (4) Mwaka 2021/22 chini ya Rais Samia.
- wakati Rais Samia anaingia madarakani wachimbaji wadogo wa madini walichangia 20% tu sawa na TZS 124.6bn kwenye mapato yote yatokanayo na madini yaliyofikia TZS 623bn wakati huo sekta ya madini ilichangia 6.8% kwenye pato la Taifa GDP,
- Mwaka 2024/25 mapato yatokanayo na madini yalifikia TZS1.6 Trilioni wakati mchango wa wachimbaji wadogo kwenye mapato yote yatokanayo na madini umefikia 40% sawa na TZS 640bn ikiwa sekta ya madini imechangia kwa 10% kwenye Pato la Taifa GDP.