Pastor Silla
Senior Member
- Sep 22, 2020
- 162
- 166
- Thread starter
- #21
Imani ya kweli uja kwa kusikia neno la Kristo na imani pasipo matendo imekufa uwezi kusema unampenda Mungu au unamuamini halafu unakwenda kinyume na neno au utaratibu wake hiyo imani no bure kwa namna hiyo.Dini ni imani.Matendo ni mtu binafsi
Ndio maana kwenye Yohana Yesu anawaambia wanafafunzi wake ukinipenda utashika amri zangu.