Utajiri ni upi?

plan z

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
1,381
1,414
Watu wengi uamini utajiri ni mali na fedha na vitu vya thamani, wengine uamini utajiri ni kuwa bora katika jambo flani, wengine uamini utajiri ni umaarufu, wengine uamini utajiri ni watu.

Nakubaliana na yote hapo juu. Mimi naamini kulingana na kisa hiki, utajiri ni kuridhika na kufurahia kile ambacho unacho na kutokujisikia vibaya kutokuwa na kile ambacho huna. Hii isikuzuie kujitima na kutia bidii katika shughuli zako.

 
Back
Top Bottom