Utajiri halali: Dhana isiyo na ukweli


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ben habari za siku tele?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
lakini mkuu hivi unajua kwamba MUNGU hayawahi kutembea na mtu maskini zaidi ya Lazaro ? woooote aliotembeanao kama Ibrahimu, Ayubu, Suleimani, Daudi na wengine wote walikuwa ni watu wanaojiweza na matajiri sana katika kipindi walichokuwa wanaishi ?
 
......Ukimuona MTU tajiri Leo. Ujue utajiri hajaupata kwa week moja izo ulizoandika ni fikra potofu kweli kuhusu utajuri.. Hivyo basi ni nini fikra sahihi kuhusu utajiri?
Mzeee hiki alichokizungumza ndio uhalisia wa utajili leo kwa Mo na degree yako anakulipa laki nne kama hutaki anakwambia nenda je ukitazama mshahara anaolipa wafanya kazi wake na Mali wanazo mzalishia kuna gap kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena ukweli kabisa. Masikini hata makanisani wanaenda kusengenya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipenzi wa Mwenyezi Mungu ni pamoja na Ayubu, Ibrahimu, Sulemani n.k
Walikuwa matajiri sana hawa.

Umasikini kwa sehemu kubwa ndio chanzo cha dhambi.
 
Yes! km hajakuelewa hapa ni mgonjwa wa akili. Mungu hana maagano na maskini.
 
Mark zuckerberg

Jeff bezos

Bill Gates

Jack ma

Mukesh ambani wanaiba siyo , wametoa makafara , .....??? acha mawazo mgando fanya kazi , kwa bidii , kuwa mbunifu , , ,
 
Toa mfano wa tajiri wa jamaa zako na wazazi wako ndio relevant example. Hao tunaosoma habari zao unauhakika gani walikua fair in every aspect Wakati hukuwaona ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…